Msaada NACTE inasema matokeo ya form six 2017 hayako kwenye database

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Habari wakuu, naomba msaada nikitaka kuapply NACTE diploma, inaniambia matokeo ya form six hayako kwenye database

UPDATE: Nimefanikiwa baada ya kujaribu tena; nadhani servers zao zilikuwa na shida
 
Muwe waangalifu inategemea unaomba diploma gani kuna kama za afya naona wao hutumia matokeo ya F4. Kuna diploma nyingine - F6 ndio direct entry lakini equivalent qualifications ni Certificate ya F4 + Certificate ya hiyo nyanja (mfano ICT, Laws etc).

Kwa hiyo kama ni afya na vyuo vya umma usishangae kusema matokeo hayako kwenye data base kwani hawayahitaji (labda kama kuna mabadiliko kwani serikali yetu ni mwendo mdundo).
 
Kwani database maana yake ni nini? Lazima yatakuwa kwenye database na kilichotangazwa ni taarifa iliyozalishwa kutoka kwenye hiyo database. Labda kama wana database zaidi ya moja au main database na mini-databases kwa matumizi tofauti hivyo kwa hitaji lako ambalo linaendana na database fulani ambayo bado haijawa updated.
 
Muwe waangalifu inategemea unaomba diploma gani kuna kama za afya naona wao hutumia matokeo ya F4. Kuna diploma nyingine - F6 ndio direct entry lakini equivalent qualifications ni Certificate ya F4 + Certificate ya hiyo nyanja (mfano ICT, Laws etc).

Kwa hiyo kama ni afya na vyuo vya umma usishangae kusema matokeo hayako kwenye data base kwani hawayahitaji (labda kama kuna mabadiliko kwani serikali yetu ni mwendo mdundo).
Ukiacha kujaza inagoma kuendelea. Tatizo lingine kwangu ni upande wa kuchagua field of study. Una-choose, lakini kwenye priority ipo faint....ingoma kuendelea, msaada
 
Ata mm iliwah kuntokea nilichofanya niliacha kuapply kwa kutumia pc nkachukua sim ikakubal jarb kufanya hivyo
Muwe waangalifu inategemea unaomba diploma gani kuna kama za afya naona wao hutumia matokeo ya F4. Kuna diploma nyingine - F6 ndio direct entry lakini equivalent qualifications ni Certificate ya F4 + Certificate ya hiyo nyanja (mfano ICT, Laws etc).

Kwa hiyo kama ni afya na vyuo vya umma usishangae kusema matokeo hayako kwenye data base kwani hawayahitaji (labda kama kuna mabadiliko kwani serikali yetu ni mwendo mdundo).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom