Msaada: Nabonyeza wapi? Kukata rufaa ya mkopo bodi

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Nipo hapa najaribu kukata rufaa lakini sijui unabonyeza wapi hebu nisaidieni.

HOW.jpg
 
UTARATIBU WA KUKATA RUFAA KWA WALIOKOSA MKOPO AU HAWAJARIDHIKA NA ASILIMIA WALIZOPATA

kwanza kabla hawajafungua dirisha la rufaa (appeals window) bodi ya mkopo HESLB lazima watenge kiasi cha fedha kwaajili ya hao watakao kata rufaa, kwahiyo ni watoe wasiwasi katika hilo.

Utaratibu uko kama ifuatavyo:–

1. Ingia katika akaunt yako kupia olas. Heslb. go. tz

2. Enda kwenye sehemu iliyoandikwa allocation status bofya hapo kisha utaletewa sehemu ya kufungua akaunt yako
≈form IV index no
≈password
≈security code
ukiingiza taarifa hizo basi itafunguka.

3. Nenda kwenye sehemu iliyoandikwa appeal now kisha click hapo itafunguka na utaanza hatua za kukata rufaa kwa kufuata maelekezo.

4. Bofya na jisajili kwa kujaza vipengele vyote sehemu yenye alama "x" yenye rangi nyekundu upande wa kushoto.

5. Kisha kamilisha fomu yako kwa kuiprint ukishaijaza vipengere vyote hivyo.

6. Kishaiprint fomu yako unatakiwa kusaini fomu yako katika ukurasa wa tatu (page 3)

7. Baada ya kusaini fomu yako katika ukarasa wa 3 basi unatakiwa kuituma tena /kuaplod fomu yako katika ukurasa wa 3 kwanjia ya mtandao

8. Wasilisha fomu yako submit kisha unatakiwa kubaki na nakala yako kama kumbukumbu yako.

Suala la kukata rufaa hakuna ada wala gharama yoyote, tembelea SIPA yako
 
Mfano umepata kiasi kdg na hujaridhika nacho, ukikata rufaa haiwez kutokea hata hicho kdg wakakifuta kabisa?
UTARATIBU WA KUKATA RUFAA KWA WALIOKOSA MKOPO AU HAWAJARIDHIKA NA ASILIMIA WALIZOPATA
kwanza kabla hawajafungua dirisha la rufaa (appeals window) bodi ya mkopo HESLB lazima watenge kiasi cha fedha kwaajili ya hao watakao kata rufaa, kwahiyo ni watoe wasiwasi katika hilo.

utaratibu uko kama ifuatavyo:–
1. Ingia katika akaunt yako kupia olas. Heslb. go. tz

2. nenda kwenye sehemu iliyoandikwa allocation status bofya hapo kisha utaletewa sehemu ya kufungua akaunt yako,
≈form IV index no
≈password
≈security code
ukiingiza taarifa hizo basi itafunguka.

3. nenda kwenye sehemu iliyoandikwa appeal now kisha click hapo itafunguka na utaanza hatua za kukata rufaa kwa kufuata maelekezo.

4.bofya na jisajili kwa kujaza vipengele vyote sehemu yenye alama "x" yenye rangi nyekundu upande wa kushoto.

5.kisha kamilisha fomu yako kwa kuiprint ukishaijaza vipengere vyote hivyo.

6.ukishaiprint fomu yako unatakiwa kusaini fomu yako katika ukurasa wa tatu (page 3)

7.baada ya kusaini fomu yako katika ukarasa wa 3 basi unatakiwa kuituma tena /kuaplod fomu yako katika ukurasa wa 3 kwanjia ya mtandao

8.wasilisha fomu yako submit kisha unatakiwa kubaki na nakala yako kama kumbukumbu yako.

suala la kukata rufaa hakuna ada wala gharama yoyote , tembelea SIPA yako
 
Wakuu maomba kufahamishwa, Hv kwa continue student, inasemekana jina lake la mkopo hutumwa chuoni, je akiingia kwenye SIPA ataona kama amekuwa allocated mkopo au la?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom