Msaada na Ushauri wa Biashara ya Unga wa sembe na upakiaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada na Ushauri wa Biashara ya Unga wa sembe na upakiaji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by FIDO DIDO, Apr 4, 2012.

 1. F

  FIDO DIDO Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hellow wa jf na wazo la kuanzisha biashara ya kusaga unga wa sembe na ku pack kwa ajil ya kuuza, jaman naomben mawazo yenu .
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Wazo lako ni zuri, kwani kuwekeza ktk chakula na ukahakikisha unakidhi viwango na mahitaji ya walaji wako utanufaika na kunufaisha wengi, binafsi nakushauri endelea na mpango wako.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ni biashara nzuri, tafuta location nzuri ambayo distribution itakuwa within that radius ..... then capture the market with quality product and competitive price
   
 4. F

  FIDO DIDO Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkuu nipo na dar na nimetafuta location maeneo ya kimara kwa ajil ya kufunga mashine but sijapata kampun ya uhakika ya kunitengenezea mifuko kwa ajil ya ku pack.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  watafute Hill Packaging .... huyu jamaa mmiliki anaitwa Hillary ni mjasiriamali mzuri sana .... anakiwanda cha kutengeneza viroba kipo mapinga Bagamoyo mwanzo kabisa karibu na bunju
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  vizuri sana mkuu, tanzania inahitaji watu kama wewe...
   
 7. F

  FIDO DIDO Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana kwa mawazo yenu wana jf
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  mkuu hiyo ni plani nzuri sana na hata mimi nina huo mpango na naendelea kuuvutia kasi

  MKUU HII BIASHARA UKIWA SIRIAS UNAWEZA KUWAFIKIA WAKINA AZAM MAKE NA WAO HAWAKUANZIA JUU

  - Ila unatakiwa kuwa mbunifu sana na kufanya watu wanunue bidhaa zako na si za wengine make wanaofanya hii business wako wengi so ni kwa nini wanunue kwako na si kwa wengine?
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu LAT hawa Jamaa wanafanya kazi ya Ku pack kwenye chupa pia? nina mpango wa kuanzisha kiwanda cha juice na ninahitaji watu wa kunifanyia Packaging mkuu..
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hapana, wao ni viroba tuu

  mkuu, kwanini usifanye sourcing ya mashine ya ku pack juice china, ukanunua pep bottles na kupack mwenyewe .... very very convinient
   
 11. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ebwana, hongera sana, nami nilikuwa na wazo kama lako, vitu vingine utanishauri na vingine tutapata kwa wadau humu JF.
  Mimi pia nataka niwe nakoboa na kusaga unga wa sembe, na nitafuga nguruwe, kuku wa kienyeji na ng'ombe kadhaa wa maziwa ambao nitakuwa nawapatia hizo pumba nitakazokuwa nazipata.
  Naomba unisaidie kujua ni vitu gani ambavyo natakiwa niwe navyo na (estimated cost) ili nifanikishe ku-implement huo mradi.
  Na je, naweza kuweka mashine ya kutumia mafuta badala ya umeme
  Je, mashine zinazotumia solar zinapatikana? (Msinicheke jamani ktk swali hili)

  Mtaji na soko siyo tatizo kwa sababu tayari nina reliable market ya ku-supply kg 150 kwa siku
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu .... 150 kg ni viroba vitatu vya 50kg ..... !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Eeh mkuu, ni sawa na viroba 90 kwa mwezi (hapo sijachanganya zile za jumla kwa wale wenye viduka vidogo vidogo).
  After all, hii ni shughuli ambayo nataka nimpatie ndugu yangu ambaye anazubaa zubaa mtaani, mimi nitakuwa natumia pumba kwa kulisha nguruwe nitakaowaweka.
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... unahitaji kuwa na supply ability kubwa kwani biashara hii ina demand kubwa ..... kuna bwana mdogo mmoja hapa dar mwananyamala ana mashine ambapo anasaga unga wa sembe na kuuza takriban viroba 120 kila siku .... pumba anauza kwa jumla .... jiandae mkuu hii project ni nzuri sana na siyo ya kumuachia mtu anaye zuba zubaa .... itakupeleka mbali i promise you
   
 15. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kwa ushauri wangu hilo eneo la kimara ungelifanya eneo la kusambazia yaani front office, na eneo ambapo malighafi zinapatikana ukaweka mitambo kwa ajili ya kupack hivyo vifurushi yaani back office.
   
 16. F

  FIDO DIDO Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu asante sana kwa ushaur wako nitaufanyia kaz soon then tutapeane updates , i hope mambo yataenda shwar.
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  - unatakiwa uwe na machine nzuri sana ya kukoboa na kusaga (unaweza kusaga unga kwa mara ya pili ili kupata unga laini zaidi)
  - uwe na mahindi mazuri ambayo hayajaliwa na wadudu (lengo unga usiwe na harufu ya uozo)
  - sehemu nzuri ya kuhifadhi unga ili usiharibike (kusiwe na joto sana wala unyevunyevu), njia nzuri na rahisi ya kumaintain quality ya unga ni kuuanika juani baada ya kusaga kabla ya packaging (ukipigwa jua siku 3 au 4 utadumu muda mrefu sana)
  - machine za mafuta zipo (kerosine) huwa zinatumika sana vijijini
  -solar machine sijawahi kusikia & am sure haiwezekani c'se energy consumption ya machine ni kubwa sana, kupunguza consumption unatakiwa kusaga mahindi mengi bila kuzima zima machine

  challenge: Unahitaji watu waaminifu sana kusimamia machine yako na watu wa kuyasafisha mahindi vinginevyo utaibiwa vibaya sana
   
 18. F

  FIDO DIDO Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  saf mkuu n vizur kama una wazo kama langu na unatakiwa uwe na mashine mbili moja ya kukoboa na nyingine ya kusaga, then mashine nzur yenye horse power 50 at least pia viroba ya ku pack unga +plus log na muonekano mzur wa packaging style, pia packaging machine, ma tank ya kuweka maji ya kutosha kwa ajil ya kusafisha yale mahind yawe saf pia itasaidia ata unga uwe saf, store saf .alafu mkuu me naona pia ku pack na unga wa dona coz kuna watu wengine hawapend sembe.n hayo mkuu mengine n marketing techniques ambayo hapa jf tumeshapata na tutaendelea kupata.thanks
   
 19. F

  FIDO DIDO Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo nayo saf mkuu
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  bila kusahau kuweka machine ktk location nzuri iliyo mbali na makazi ya watu. Lengo ni kuondoa matatizo na majirani ambao ni lazima watalalamia kuhusu kelele za machine yako, kusababisha nyufa kwenye nyumba zao na uchafuzi wa mazingira
   
Loading...