Msaada na ushauri jinsi ya kuagiza vifaa vya umeme China

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Team JF.Naombeni msaada wa kuagiza vitu vya umeme wa nyumbani kutoka China. Kwa bei ya jumla na kuja kuuza hapa .wapi nitapata suppliers, usafirishaji na kodi inakuaje?
Bulb ,watts 3
Na kuendelea mpaka 15
Socket
Switch
Na vitu Vingine.
Ndio nataka kuanza hii biashara .
God bless you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiagize saiv corona ni kipengele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello Team JF.Naombeni msaada wa kuagiza vitu vya umeme wa nyumbani kutoka China. Kwa bei ya jumla na kuja kuuza hapa .wapi nitapata suppliers, usafirishaji na kodi inakuaje?
Bulb ,watts 3
Na kuendelea mpaka 15
Socket
Switch
Na vitu Vingine.
Ndio nataka kuanza hii biashara .
God bless you.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ? Mafindozii hutatuletea corona kweli wewe? Wachina wanaweza kufungasha furushi la Corona kama elfu 10 hivi (kwa mujibu wa watu wa Dodoma) ili watuletee huku kwetu! Jokes,, Mkuu tafuta kule kwenye jukwaa la biashara kuna raia anaitwa Kipilipili anaweza kukusaidia sana
mkuu. Sijui namna ya ku-tag ningekuletea hapa Uzi alioanzisha huyo mwanadada Kipilipili. Ukifanikiwa mkuu usisahau kunihabarisha, maana na Mimi huwa nina wazo la kufuata hivyo vifaa pamoja na hardware zingine!
 
Unaweza Kuagiza online ukiwa Tanzania. Cha msingi ni kufata tarabibu zote za kununua ukiwa mbali ya nchi.

Kuhusu Corona, China wamerudi makazini kama kawaida na sio kua hali imekaa 100% kama zamani lakini wamevuka 90% na haifahamiki lini watafungua milango ninadhani mpaka kupoe sana sehemu ya dunia China ndiyo wanaweza kufungua milango yao.

nicontact kwa mawasiliano +255627637767 pia jaribu kusoma articles nilizoweka hapa kwa maelezo zaidi.

Uwe na siku njema
 
Back
Top Bottom