NEMEZIZ
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 563
- 335
Nimeleta kwenu wakuu wa jamvi.
Kuna rafiki yangu wa karibu na kama dada yangu tokea jana analia kabisa kakosa chuo, anacholalamika yeye anapoint 11 kapata div2 kamaliza Hkl lakina aliomba UDSM na Mzumbe kote kakosa.
Hali hii imepelekea kukosa hata hamu ya kujiendeleza kimasomo. Je tumsaidie nini huyu dada yetu japo nimemuelezea kuwa anafursa ya kuomba tena. Kwenu wakuu wa jamvi