Msaada na Internet Banking....

Hinfay

Member
Jan 13, 2012
33
6
Habari zenu wakuu,nilikuwa naomba mnisaidie kuhusu hii service ya CRDB haswa pale kwenye log-in page yao,naomba niwaulize hivi username na password unapata ukishasubmit form yao au vipi?
 
nijuavyo..download form.. Link ipo google. Then jaza izo form, then peleka tawi lolote la CRDB lilo karibu nawe. Then maelekezo mengne utatoa uko.
 
nimeshajaza hizo form mpaka nimechoka nimesubiri email mpaka basi hakuna cha inbox wala junk. huu karibia mwezi wa nane sasa nafatilia lakini hakuna matumaini yoyote kila nikenda wananambia nilijaza form za zamani inabidi nijaze mpya.... form zako hatukuzifax tunazifax leo....tutakupigia simu....tutakutumia email
hakuna kitu. POOOOOOR kastama kea.

https://ifm.crdb.com/online/ASPScripts/Logon.asp

yani napata hasira.
 
Yaani ku sign up na online banking lazima ujaze lifomu la karatasi halafu ulipeleke ofisini kwao ndio wakupe access ya kuweza kuitumia hiyo huduma?

Ama kweli taasisi zetu za kibenki bado ziko nyuma sana kiteknolojia. Hata NBC nao ni hivyo hivyo.
 
Nyani Ngabu mhhhh hiyo signature yako noma.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom