Msaada:n Nimewipe system partition wakati wa kuflash custom rom (lineage) nifanye nini kurudisha simu yangu?

ICT_student_TZ

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
392
175
Habari zenu wadau wa Technology...

Naomba msaada nimewipe systeam partition kwa bahati mbaya wakati nainstall custom rom (lineage)..

Nikijaribu kureboot syatem au recovery naambiwa "OS not installed are you sure you wish to reboot"

Na mbaya zaidi sikufanya backup yoyote kabla..

Nifanyeje kuokoa simu yangu samsung galaxy S3.
http___img15.hostingpics.net_pics_8558271352390710209639637332830314450335o.jpg
 
Basi search google.

Galaxy s3 stock rom.

Usiingie sammobile utatakiwa kulipia. Ingia link nyingine (mara nyingi inakua ya chini).

Idownload.

Iextract kwenye pc.

Install samsung usb drivers.

Download odin ifungue.

Bonyeza PDA au AP (Kutegemea version ya Odin)

Ifuate stock rom ulipoiextract, iload.

Zima simu.

Bonyeza Volume Down + Home Button + Power Button kwa pamoja.

Itakuja Interface ya Kuflash.

Bonyeza Volume Down kuingia kwenye download mode.

Kisha unganisha simu kwenye PC.

Bonyeza Start.

Itamaliza na kukuandikia Pass!.

Itajirestore na kuwaka.

Umemaliza kazi.
 
shukran mkuu nalifanyia kazi hapa
 
Asanteni kwa michango yenu nimeweza kurudisha simu kwa kurudisha stock rom.

simu imerudi kuwa mpya japokuwa nikiweka laini yoyote haipandishi/haisomi nashindwa kupig simu wala kutuma text inaniambia mobile network not available
 
Angalia imei kama zinafanana na za kwenye simu baada ya kutoa betri la simu. *#06#
 
Angalia imei kama zinafanana na za kwenye simu baada ya kutoa betri la simu. *#06#
nashindwa kuona imei zilizoandikwa nyuma ya simu chini ya betri karatasi lilioandikwa imei limetoka.

sina hakika kama limetoka au laa pengine ndiyo fake samsung.

imei iliopo kwenye setting ndio ile ile ninayopata nikipiga *#06#
 
Asanteni kwa michango yenu nimeweza kurudisha simu kwa kurudisha stock rom.

simu imerudi kuwa mpya japokuwa nikiweka laini yoyote haipandishi/haisomi nashindwa kupig simu wala kutuma text inaniambia mobile network not available
Dah hamna kitu sipendi kama kukutana na Samsung ambayo haipandishi mnara.

Ikishindwa, cheki Stock Rom nyingine jitahidi iwe universal Rom au ambayo ni ya Kenya au South Africa.

Hiyo ya juu ni uhakika kwa 80%

Jaribu kuflash Modem bin file la hiyo simu.

Hii ni uhakika kwa 52%

Njia ya kutumia Universal Rom au ya huku Afrika nimeipa asilimia kubwa kwakua umesema ukibonyeza *#06# unapata imei.
 
Angalia imei kama zinafanana na za kwenye simu baada ya kutoa betri la simu. *#06#
Dah hamna kitu sipendi kama kukutana na Samsung ambayo haipandishi mnara.

Ikishindwa, cheki Stock Rom nyingine jitahidi iwe universal Rom au ambayo ni ya Kenya au South Africa.

Hiyo ya juu ni uhakika kwa 80%

Jaribu kuflash Modem bin file la hiyo simu.

Hii ni uhakika kwa 52%

Njia ya kutumia Universal Rom au ya huku Afrika nimeipa asilimia kubwa kwakua umesema ukibonyeza *#06# unapata imei.
mkuu nimejaribu kupitia baadhi ya solutions nimekutana na hii kwamba naweza kurepair imei ya device yangu vp hii ipoje unaipa asilimia ngapi?
 
mkuu nipe ruhusa kurepair imei ndo nipo kwenye process hapa..

nimeambia kurepair imei sio kosa kwa sheria zetu za bongo..
 
Back
Top Bottom