Msaada: My Local Disk D is not Accessible

Bazenga01

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
763
1,247
Wakuu mwenye ujuzi jinsi ya kurudisha access kwenye local disk D naomba anielekeze. Ningeweza kuiFormat ila kuna vitu/data zangu ambazo nazihitaji.
Nikijaribu kuifungua inaleta hii msg
Local_D1[1].jpg
Specifications za pc:
Processor: Intel(R) Core(TM) i3-3217U @ 1.80GHz
RAM : 4.00GB
System type: 64-bit OS

Thanks in advance!
 
Toa maelezo japo kwa kifupi imekuaje mpaka ikawa hivyo. Ni vigumu tu ikaacha kuwa accessible lazima kuna sababu.
 
kaka kuna m2 alichezea kama sio wewe,
hizo ni effect za kuweka mark, kwenye deny security tab,
.
Fanya hv right click kwenye,
kwenye hyo disk D, alafu ingia kwenye properties, short cut, Alt + Enter.
.
then angalia hzo tab za juu ingia kwenye, security,.
Ukiona kama kuna mark, zimewekwa kwenye deny, column,
.
Zi unmark alafu then mark,
Full control then Enter,
usipo viona hv vi2 ni PM, kama vp
 
Shukrani mkuu, ngoja nijaribu hiyo option.

Nili-mess up na mambo ya security. Nilifikiri nai protect the drive. Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom