msaada mwenzenu bundles zinaisha haraka..

chrisman49

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
351
77
Habari zenu frnds..jaman mwenzenu na2mia windows xp 2002..lakn unakuta hata cjaanza kubrowse megabyt kadhaa zishapotea akat auto update iko off..hata ya antivirus pia..much regards!!
 
OK... kwanza nigependa kujua ukitumia net kutoka mtandao gani? na pia angalia sofware zote zinazorun kabla ya kuconnect na internet kama

uttorent na download acc... zingine au chk kwenye task manager kuona prog zinazorun... pia kama hamna software zinazorun pia inaweza ikawa a

issue about viruses yes kama iko affected wanakula mb zako kama nini vile..so it might be either ya vitu nilivyovitaja.
 
Nunua blackberry jiunge kwa elfu 20 mpaka 35 kwa mwezi pata net mwezi mzima

acha ujinga wewe....so hiyo Blackberry ndo atafanyia kazi za ofisi? kumiliki tu Blackberry ishakuwa nongwa...ukimiliki IPAD 2 au Iphone 5 itakuwaje?
 
Tafuta modern ya Aurtel mkuu, 2500/= unapata 400mw. Mimi natumia sana net so kwa mwezi huwa na-recharge mara 2 mpaka 3 (max.7500/= kwa siku 30), natumia Toshiba laptop window 2007. Pia nina simu Samsung (SGH-D780) with double lines, na nime install OPERA MINI 4 (Java) na iko poa sana!! nimeweka lines za Airtel na Voda, ambazo ukiweka vocha unapata bonus ya megawati za bure!! so sijawahi kuweka vocha kwa ajili ya mobile internet but natumia zilezile vocha ninazoweka kwa ajili ya mawasiliano. Yaani hapo mambo mdundo mwanangu!!

Habari zenu frnds..jaman mwenzenu na2mia windows xp 2002..lakn unakuta hata cjaanza kubrowse megabyt kadhaa zishapotea akat auto update iko off..hata ya antivirus pia..much regards!!
 
Thanx thanx..pia na2mia airtel internet na voda..lakn tatz cjui settings za kumpyt?labda kwa utaalamu wenu ni sehem zp za computer za kuregard?
 
Thanx thanx..pia na2mia airtel internet na voda..lakn tatz cjui settings za kumpyt?labda kwa utaalamu wenu ni sehem zp za computer za kuregard?
sijui wewe ni mkazi wa wapi ..hilo tatizo hata mimi nilikuwa nalo na nilienda na laptop yangu pale mlimani city (voda office)wakanisettia..tatizo ni kuwa una uptodates ambazo ziko switched ON kama alivyosema mshauri wa kwanza hapo juu ..so ukiswitch on internet inaanza ku auptodate directily i.e. antvirus etc.kwa hiyo angalia uptdates zako ziwe off na kama vip nenda voda au sasatel au mtafute mtu wa IT akutolee
 
Tafuta modern ya Aurtel mkuu, 2500/= unapata 400mw. Mimi natumia sana net so kwa mwezi huwa na-recharge mara 2 mpaka 3 (max.7500/= kwa siku 30), natumia Toshiba laptop window 2007. Pia nina simu Samsung (SGH-D780) with double lines, na nime install OPERA MINI 4 (Java) na iko poa sana!! nimeweka lines za Airtel na Voda, ambazo ukiweka vocha unapata bonus ya megawati za bure!! so sijawahi kuweka vocha kwa ajili ya mobile internet but natumia zilezile vocha ninazoweka kwa ajili ya mawasiliano. Yaani hapo mambo mdundo mwanangu!!

Ningependa kukurekebisha kidogo,kwenye mambo ya internet huwa tunatumia byte sio watt,pale kwenye megawatts(mw) ilitakiwa iwe megabytes. Siku njema
 
jamani nashukuru mmenifungua macho kuhusu huduma ya airtel ya megabyte 400 kwa 2500 asanteni sana
 
Au hata ukitaka offer ya voda, unatuma BOMBA7 kwenda 15300, unabrowse bure wiki nzima it costs 10,000.faida ya hii huna haja ya kuturn off kitu chochote iwe antivirus au kingine chochote,MB haziishi mpaka siku 7 ziishe.
 
MIMI NATUMIA VODA BOMBA 7 NI UNLIMITED LAKINI UKIMALIZA MB 750 SPEED INASHUKA DOWNLOAD SPEED INAFIKA 30kbps.KWA WANAOTUMIA BOMBA 30 NILIKUWA NAULIZA WANKUPA MB NGAPI NDO SPEED INASHUKA! PLS MSAAADA KABLA SIJAJIUNGA
 
Sikumbuki wanatoa megabyte ngapi ila kwa bomba30 unatumia siku 30 unlimited afu baada ya hapo hata usipoweka hela nyingine bado unakuwa connected but at lower speed compared kabla siku 30 hazijaisha. Ninapoandika thread hii sasa natumia bure hakuna hela niliyoweka. Hela yangu ya siku 30 iliisha tang tar 9 Sept. Na kila siku nachat by mobile and pc everyday. Vodacom siwasifii ila huduma zao ni bomba kama wanavyoita wenyewe.
 
MIMI NATUMIA VODA BOMBA 7 NI UNLIMITED LAKINI UKIMALIZA MB 750 SPEED INASHUKA DOWNLOAD SPEED INAFIKA 30kbps.KWA WANAOTUMIA BOMBA 30 NILIKUWA NAULIZA WANKUPA MB NGAPI NDO SPEED INASHUKA! PLS MSAAADA KABLA SIJAJIUNGA
Bomba 30 wanatoa 2GB zikiisha unarudi 64kbps, jiunge tu mku inasaidia.
 
Jaribu kuinstall AVG internet security yenyewe itakua inakuletea meseji appliation yoyote inapotaka kuaccssess internet kisha wewe utaua unablock.....
 
Bomba 30 wanatoa 2GB zikiisha unarudi 64kbps, jiunge tu mku inasaidia.

Speed inapungua kwa sekunde chache tuu ukimaliza mb750...lakini inarudi na speed yake kama mwanzo...bomba packages ni nzuri sana..its real unlimited...I recommend that..
 
Back
Top Bottom