chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 351
- 77
Habari zenu frnds..jaman mwenzenu na2mia windows xp 2002..lakn unakuta hata cjaanza kubrowse megabyt kadhaa zishapotea akat auto update iko off..hata ya antivirus pia..much regards!!
Nunua blackberry jiunge kwa elfu 20 mpaka 35 kwa mwezi pata net mwezi mzima
Nunua blackberry jiunge kwa elfu 20 mpaka 35 kwa mwezi pata net mwezi mzima
Habari zenu frnds..jaman mwenzenu na2mia windows xp 2002..lakn unakuta hata cjaanza kubrowse megabyt kadhaa zishapotea akat auto update iko off..hata ya antivirus pia..much regards!!
sijui wewe ni mkazi wa wapi ..hilo tatizo hata mimi nilikuwa nalo na nilienda na laptop yangu pale mlimani city (voda office)wakanisettia..tatizo ni kuwa una uptodates ambazo ziko switched ON kama alivyosema mshauri wa kwanza hapo juu ..so ukiswitch on internet inaanza ku auptodate directily i.e. antvirus etc.kwa hiyo angalia uptdates zako ziwe off na kama vip nenda voda au sasatel au mtafute mtu wa IT akutoleeThanx thanx..pia na2mia airtel internet na voda..lakn tatz cjui settings za kumpyt?labda kwa utaalamu wenu ni sehem zp za computer za kuregard?
Tafuta modern ya Aurtel mkuu, 2500/= unapata 400mw. Mimi natumia sana net so kwa mwezi huwa na-recharge mara 2 mpaka 3 (max.7500/= kwa siku 30), natumia Toshiba laptop window 2007. Pia nina simu Samsung (SGH-D780) with double lines, na nime install OPERA MINI 4 (Java) na iko poa sana!! nimeweka lines za Airtel na Voda, ambazo ukiweka vocha unapata bonus ya megawati za bure!! so sijawahi kuweka vocha kwa ajili ya mobile internet but natumia zilezile vocha ninazoweka kwa ajili ya mawasiliano. Yaani hapo mambo mdundo mwanangu!!
Ningependa kukurekebisha kidogo,kwenye mambo ya internet huwa tunatumia byte sio watt,pale kwenye megawatts(mw) ilitakiwa iwe megabytes. Siku njema
Au hata ukitaka offer ya voda, unatuma BOMBA7 kwenda 15300, unabrowse bure wiki nzima it costs 10,000.faida ya hii huna haja ya kuturn off kitu chochote iwe antivirus au kingine chochote,MB haziishi mpaka siku 7 ziishe.
Bomba 30 wanatoa 2GB zikiisha unarudi 64kbps, jiunge tu mku inasaidia.MIMI NATUMIA VODA BOMBA 7 NI UNLIMITED LAKINI UKIMALIZA MB 750 SPEED INASHUKA DOWNLOAD SPEED INAFIKA 30kbps.KWA WANAOTUMIA BOMBA 30 NILIKUWA NAULIZA WANKUPA MB NGAPI NDO SPEED INASHUKA! PLS MSAAADA KABLA SIJAJIUNGA
Bomba 30 wanatoa 2GB zikiisha unarudi 64kbps, jiunge tu mku inasaidia.