Msaada; Mwenza wangu anaandamwa na magonjwa mara kwa mara

iginoo fokasi

Member
Nov 12, 2017
9
1
Habari za majukumu ya siku nzima na poleni na ugumu wa uchungu wa maisha, Kama kichwa tajwa hpo juu naomba msaada juu ya mweza wangu ambae nimedumu nae mwaka wa tatu huu, tangu mwaka 2017 umeanza huyu nnaetarajia awe mke wangu afya yake imekaa vibaya amekuwa mtu wa kuandawa na magonjwa ya mara kwa mara.

Tumezunguka hospitali zote , ikabidi tujarbu upande wa tiba za asili lakini bado hajapona ingawa tumeambiwa amechezewa kishirikina mahala pake pa kazi.

Kikubwa zaidi kichwa na kizunguzungu na saa nyingine mapigo ya moyo yanamuenda mbio sasa na mwezi wa sita unakaribia juu ya hili tatizo lake.

Naombeni mwenye tiba au ushauri aniapatie nini kifanyike huyu binti apone.

Ahsanten sana
 
Nakukaribisha kanisani kwetu kimara njoo umuone Mungu kupitia ugonjwa WA mkeo,,atapona kabisa
 
Habari za majukumu ya siku nzima na poleni na ugumu wa uchungu wa maisha, Kama kichwa tajwa hpo juu naomba msaada juu ya mweza wangu ambae nimedumu nae mwaka wa tatu huu, tangu mwaka 2017 umeanza huyu nnaetarajia awe mke wangu afya yake imekaa vibaya amekuwa mtu wa kuandawa na magonjwa ya mara kwa mara.

Tumezunguka hospitali zote , ikabidi tujarbu upande wa tiba za asili lakini bado hajapona ingawa tumeambiwa amechezewa kishirikina mahala pake pa kazi.

Kikubwa zaidi kichwa na kizunguzungu na saa nyingine mapigo ya moyo yanamuenda mbio sasa na mwezi wa sita unakaribia juu ya hili tatizo lake.

Naombeni mwenye tiba au ushauri aniapatie nini kifanyike huyu binti apone.

Ahsanten sana
mimi nakushauri kafanye vipimo zaidi usije kuta ni CCF
 
Back
Top Bottom