Msaada: Mwenye uzoefu kuagiza vitu kutoka Alibaba

politicians

Senior Member
Apr 8, 2018
154
124
Habari wadau!,

Ningependa kupata ushauri kidogo,Kuna mzigo nataka niagize kutoka Alibaba. Ningependa kujua utaratibu ukoje. Hapa Bongo Mzigo unapofika kwenye upande wa Kodi?,n.k,je Kama mzigo.

Wenyewe ni wa matumizi binafsi ya Nyumbani na wenyewe natskiwa nilipie Kodi? Wazoefu Tafadhali tupeane ushauri
 
Habari wadau!,
ningependa kupata ushauri kidogo,Kuna mzigo nataka niagize kutoka Alibaba
Ningependa kujua utaratibu ukoje
Hapa Bongo Mzigo unapofika kwenye
upande wa Kodi?,n.k,je Kama mzigo
Wenyewe ni wa matumizi binafsi ya
Nyumbani na wenyewe natskiwa nilipie
Kodi?,Wazoefu Tafadhali tupeane ushauri
Nami nahangaikia kujua taratibu za kuagiza mzigo wa biashara kupitia Alibaba, malipo yakoje na masuala ya kikodi endapo mzigo umewasili nchini.ngoja tusubili wajuzi wa mambo waje.
 
ningependa kupata ushauri kidogo,Kuna mzigo nataka niagize kutoka Alibaba
Ningependa kujua utaratibu ukoje
Nami nahangaikia kujua taratibu za kuagiza mzigo wa biashara kupitia Alibaba
Rejea post #7 hapa: Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja

Pia Rejea post #217 hapa: Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni
kwenye
upande wa Kodi?,n.k,je Kama mzigo
Wenyewe ni wa
binafsi ya Nyumbani na wenyewe natskiwa nilipie Kodi ?
Ndio lazima utalipia kodi iwapo mzigo husika upo kwenye kundi la mizigo bidhaa inayopaswa kulipiwa kodi.
Iwapo mzigo wako hauko kwenye lile kundi la kulipiwa kodi, basi huwa kuna malipo ya VAT, huwa ni kiasi kidogo ukilinganisha na kodi.
malipo yakoje
Malipo alibaba - Kuna njia mbali mbali za kukamilisha malipo kwa muuzaji, yeye muuzaji atakwambia utume fedha kwa njia ipi kati ya zile zilizo ruhusiwa alibaba, au wewe binafsi utamweleza kati ya njia hizi, na chakua hii kukutumia fedha yako.

Kama utahitaji nisimamie MANUNUZI , KUSAFIRISHA, CLEARANCE NA DELIVERY ya mzigo wako hadi mahala ulipo, Kwanza soma hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

KARIBU
 
Nunua mwenyewe kama una kama mzigo mdogo tu ukishirikisha mtu mwengine unaweza kuzidi cost bora kununua bongo.

Ingia online pay angalia free shipping na muda wa mzigo utakapofika.

Mzigo wa laki unaweza ukatoa elfu 2 mpaka 5 posta.
 
Kuna Uzi nilireply fatilia Utakuta Kuna namna ya kuagiza mtumba china ... Hapo kuna process zote za alibaba
 
Habari wadau!,

Ningependa kupata ushauri kidogo,Kuna mzigo nataka niagize kutoka Alibaba. Ningependa kujua utaratibu ukoje. Hapa Bongo Mzigo unapofika kwenye upande wa Kodi?,n.k,je Kama mzigo.

Wenyewe ni wa matumizi binafsi ya Nyumbani na wenyewe natskiwa nilipie Kodi? Wazoefu Tafadhali tupeane ushauri
Nilazima ueleze aina ya mzigo
 
Nunua mwenyewe kama una kama mzigo mdogo tu ukishirikisha mtu mwengine unaweza kuzidi cost bora kununua bongo.

Ingia online pay angalia free shipping na muda wa mzigo utakapofika.

Mzigo wa laki unaweza ukatoa elfu 2 mpaka 5 posta.

Mzigo wa laki uutoe kwa buku 2? Posta ipi hiyo?

Kodi ya TRA pale dirishani posta ni around 45% ya bei ya kitu ulichonunua. Kama kitu umenunua laki 1 basi jua kodi yake itakua around elfu 40 mpaka 45!
 
Back
Top Bottom