Msaada: Mwenye uelewa jinsi ya kupata kibanda cha Airtel Money

yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
2,444
2,955
Naomba wenye uelewa jinsi ya kupata kibanda cha airtel money hasa kwa haya yafuatayo:

1. Vigezo vya kukipata (mambo gani yanahitajika)
2. Gharama mpaka kukipata
3. Je, baada ya kukipata inaruhusiwa kuweka huduma nyingine ndani ya hicho kibanda?
4. Kibanda kinachohitajika ni kama hicho kwenye picha

images%20-%202021-01-16T184055.266.jpg


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Changamoto ya hivyo vibanda....hawataki ufanyie kazi mitandao washirika mfano Tigo, voda na halotel.
 
Na mimi nahitaji hiki kibanda mwenye nacho au anaejua namna ya kukipata tuchekiane 0766369445
 
Back
Top Bottom