Msaada: Mwenye uelewa anisaidie

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,189
3,684
Msaada mwenye kijua kama kuna app inayowezesha kuchora rangi kwenye simu

Zamani nilikua natumia Samsang yenyewe ilikua ina sehemu ya kuchora

nazungumzia hichi
Screenshot_20211125-165450.jpg



Yuda exalioth
jamiiforums geita
 
Zipo app nyingi tu, na kuna Simu zinafanya hivyo bila ya kupakua app yoyote mpya.
Ngoja takuwekea app hapa nikipata muda
 
Back
Top Bottom