Msaada mwenye Tangazo la nafasi za Kazi zilizotangazwa na chama cha Walimu Tanzania

faru joni

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
478
733
Habarini as asubuhi hii ndugu zangu wapendwa,

nimeskia (kudokezewa) kuna tangazo la nafasi za kazi lililotangazwa na chama cha waalimu Tanzania,

Naombeni mwenye ilo tangazo anisaidie, maana nimelitafuta pasipo mafanikio

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20190103-113743.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom