Msaada mwenye software ya VLC Media

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,506
Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa.

Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
 
kawaida browser yao inatambua os unayotumia kabla ya kudownload na kukupeleka kwenye setup husika, unaweza kuwa unadowload .apk badala ya .exe, pia kama ni .exe hakikisha unajua os yako ni 32bit au 64bit kabla ya kudowload.
 
Kama unataka kudownload kwenye simu then uinstall kwenye Pc, jaribu kudownload iliyo katika mfumo wa .zip ukishaiingiza kwenye pc una unzip then unaendelea mbele.
 
Mi pia vlc kwenye pc yangu imeleta shida. Yaani ukiplay media inalia kama twita kasauti kanakuwa kakali tofauti kabisa na player zingine
 
Una maana gani pc haina network connection wakati una simu ambayo unaweza kuitumia kama MODEM?
Ndio nilikuwa natumia kwa kuconect na hotspot lakin tangu niweke window nyingine nikiconnect inaandika PC " enter security key"

Nikiingiza za pale kwenye hotspot bado inarudia hivyo hivyo
 
Wakuu nimepta player nyingine (potplayer)
Japo vlc ndo nzuri zaid sina jinsi kutumia hii
 
Back
Top Bottom