Msaada mwenye Namna ya kutuma fedha ghana

BoomBoy

Member
Feb 13, 2020
17
95
Hello wakuu,
Kama kuna Kiongozi ana namna ya kutuma fedha Ghana, na receiver akapokea kwa mobile money, naomba tujulishane
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,046
2,000
World remit ndio option yako ya kwanza.

Ya Pili ni Xoom ya PayPal

Ya 3 ni TransferWise
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,046
2,000
Mkuu inafanyaje Kazi hii??
TransferWise ndio rahisi kwa Tz maana ipo supported. Unatengeneza acc then unatakiwa kuverify identify kwa kutuma National ID na picha yako. Baada ya hapo wataverify wao na watakuambia.
Hapo unaweza tuma hela nje na kupokea pia. Kwenye kupokea unatakiwa kutengeneza account ya US ambayo utatakiwa kuweka $20 ku activate. Then unapewa account number ya US or UK. Kupokea kwa mobile money huko kwetu bado. So kma unataka kupokea uitoe kwa mobile money na sio bank directly unamtumia mtu wa Kenya via Mpesa
 

Hank_31

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
533
1,000
Mkuu, nafikili njia rahisi kuliko zote ni kwa kutumia btc.

Fungua account ya local bitcon na miamala uitakayo, but kaa ukijua pesa yako inaweza kuathirika na market ya btc either kupanda au kushuka...
 

Einsten

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
741
500
Naona kuna harufu ya mtu kwenda kupigwa na NIGERIAN hapa kama sijakosea ila soon ataleta mrejesho.
 

BoomBoy

Member
Feb 13, 2020
17
95
Naona kuna harufu ya mtu kwenda kupigwa na NIGERIAN hapa kama sijakosea ila soon ataleta mrejesho.
Nope mkuu, nlikuw natoa refund kwa customer. first time experience ndo maana ilinchanganya kidogo. Nlikuw nimezoea kupokea, sa hiyo ya kurudsha ndo ilikuw ngumu.
 

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,426
2,000
World remit ndio option yako ya kwanza.

Ya Pili ni Xoom ya PayPal

Ya 3 ni TransferWise
Hawa Transferwise (kwasasa wanajulikana kama Wise) ninawalaani, mwezi mzima wananisumbua tu ela haionekani ilipo na hawafuatilii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom