Msaada: Mwenye mtihani au kujua namna ya kujipima katika kutumia Microsoft word anisaidie

Kitumburee

Senior Member
Jan 31, 2012
139
88
Naombeni mwenye sample ya mtihani wa kupima kiwango cha mtu kutumia microsoft word anitumie au anipe link tafadhali.

Chonde chonde wadau. Natanguliza shukrani za dhati
 
naombeni mwenye sample ya mtihani wa kupima kiwango cha mtu kutumia microsoft word anitumie au anipe link tafadhali.
chonde chonde wadau.
natanguliza shukrani za dhati
Umejaribu google?
 
Vipi ni kazi ya usekretar au, check ma typing speed per minute, mambo ya kuboldbold, underline, italic na kadhalika
 
Unatest mtu wa aina gani, ninayo interview basic tu..

Hata kwa wale wanaojua pc wanaweza feli bila utani..
Nipe email

Sent using Unknown device
 
naombeni mwenye sample ya mtihani wa kupima kiwango cha mtu kutumia microsoft word anitumie au anipe link tafadhali.
chonde chonde wadau.
natanguliza shukrani za dhati

Kuna Tangazo linalojiokeza mara kwa mara la Chuo cha Computer hapa Jamvini cha ComSkills kipo Jirani la Kituo cha Mabasi cha Makumbusho nashauri piga hizo Namba zao wakufanyie Usajili wa haraka ukawe Mwanafunzi Wao na utajua Computer vizuri sana hadi na Wewe kuja Kuitwa ' Computer Wizard ' Mkuu.

Namba zao ni 0717 718 519 na 0762 192 532. Wasiliana nao hata Usiku huu huu ili Kesho asubuhi tu ukaanze Masomo pale Kwao na wakufundishe hiyo Microsoft Word yako Mkuu. Kila la kheri.
 
asante kaka. ila nina online test kesho ndio nafanya maandalizi..
 
Back
Top Bottom