Msaada: Mwenye miziki ya Kirusi naomba tuwasiliane. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Mwenye miziki ya Kirusi naomba tuwasiliane.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mjombajona, Feb 4, 2011.

 1. m

  mjombajona JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi nilisoma Ukraine miaka ya tisini, Nilikuwa mpenzi sana wa Russian music, nyimbo kama fotografia na zingine nyingi zilizowika wakati huo nilikuja nazo bongo. Naomba kwa wale ambao bado mpo Russia/Ukraine mni PM tuwasiliane ili tuangalie vipi naweza zipata latest za sasa za kirusi.
  Pakaa!
   
Loading...