Msaada: Mwenye kuijua filam moja ya kibongo anisaidie

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,189
3,684
Kwema wadau jf,

Kama nlvyo andka hapo juu naitaji msaada kwa hilo,

Kuna filam ameicheza visent kigosi siijui inaitweje naitafuta kwa kubahatsha rakin siipati, ila ndan ya filam hio kunajamaa kacheza alikua anatumia jna la selestine alikua anacheza mpla wa gofu
 
ed0e6b274d5bf5b4f8c2fe86eca01bc2.jpg


Hebu fafanua, Ray Kaglass au Ray Polytank?
 
Hiyo filamu inaitwa "Fan's Death" yupo Ray Kigosi, Najma wa Baraka da Prince, na yule msomali Rammy(ameigiza kama Celestine).
 
Back
Top Bottom