Msaada : mwenye kufahamu ni vyuo vikuu (universities) gani vinapokea wahitimu wa foundation kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020

Kaka ni SAUT MBEYA,SAUT ARUSHA,UDOM,CBE,ST JOSEPH UNIVERSITY, CHUO CHA TAKWIMU,STELLA MARIS UNIVERSITY MTWARA

MIMI mwenyewe nmechaguliwa SAUT MBEYA Kwa matokeo ya foundation
 
DAH POA MKUU , NGOJA NITUME ARDHI UNIVERSITY HAPO ,na st.joseph
 
Acha kumdanganya mwenzako. UDOM na CBE asipoteze muda wake. Kuwa mkweli tu mwambie aendelee na digrii hapohapo OUT a u huko SAUT and a like
Kaka ni SAUT MBEYA,SAUT ARUSHA,UDOM,CBE,ST JOSEPH UNIVERSITY, CHUO CHA TAKWIMU,STELLA MARIS UNIVERSITY MTWARA

MIMI mwenyewe nmechaguliwa SAUT MBEYA Kwa matokeo ya foundation
 
Jaribu pia must campus ya Rukwa
Screenshot_20190919-140944.png
 
Back
Top Bottom