Msaada: mwenye kufaham nauli ya ndege kutoka Dar hadi Dodoma

chagga land

JF-Expert Member
Jul 24, 2015
394
95
nataka kusafiri kwa ndege kutoka dar kwenda dom,mwenye kujua nauli yake anijuze tafadhari.karibuni
 
Ni around 250,000/= one way!! Ni vema ukasearch mwenyewe hata google kwa uhakika zaidi maana nauli za ndege huwa sio fixed kama za mabasi, zinavary kutokana na factors nyingi mfano: msimu, lini umefanya booking, aina ya ndege n.k.(japo nyingi za Dodoma ni ndege ndogo.
 
We ingia kwenye website ya shirika la ndege husika...fanya kama wafanya booking utaona maana wkt mwingine inategemeana na mengi ikiwamo muda lakini na aina ya seat unayokata
 
Back
Top Bottom