Sijui mkuu uko wapi...Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!
Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Yeye amehitaji softcopy kwenye PDF Format. Mimi pia ninahitaji MkuuSijui mkuu uko wapi...
Ila hivi vitabu vipo vingi sana kwa wauza vitabu mjini hasa kariakoo. Angalia wale wqnaouza kando kando ya barabara huwa wanakua na vitabu vingi vya zamani.
Hiki kitabu kuna hadithi moja ya dada wawili wenye kijicho tam sana nikosoma miaka zaid ya 25 iliyopitaJe! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!
Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Soft copy ya kiswahili ipo kweli?,
Afu nauliza,alifu Lela ulela ndo muhusika mkuu Ni sindbad na yule mfalme Haroun Al Rashid wa Baghdad?
Kwanini usiweke utaratibu hapa ili usaidie na watu wengine bro?Kitabu kipo soft copy ni pm kwa maelekezo
Kitabu kipo kwa anayehitaji ni pm nikupe maelekezo mazurKwanini usiweke utaratibu hapa ili usaidie na watu wengine bro?
Mkuu mimi nahitaji kitabu cha ngoswe na orodha, nitafurahi ukipa msaada pia.Kitabu kipo kwa anayehitaji ni pm nikupe maelekezo mazur
NB: kitabu nakitoa bila gharama yyte
Mkuu hivo cna ninacho cha weep not children cha ngugi lakn ntakutaftiaMkuu mimi nahitaji kitabu cha ngoswe na orodha, nitafurahi ukipa msaada pia.
Ubungo stand kuna mzee anaauza hard copy bei rahisi tuJe! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!
Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Vipo kibao duka la vitabu nadhani linaitwa TPH bookshop Kama sikosei lipo pale karibu na mnara wa askari maeneo ya posta mpya darves salaamHiki kitabu kuna hadithi moja ya dada wawili wenye kijicho tam sana nikosoma miaka zaid ya 25 iliyopita
Hivyo vitabu ndivyo vilijaza ujinga watanzania .someni vitabu Kama vya how to get rich ,how to make machines,how to prepare chips kuku nk hayo mangonjera ya hayo matabu yanapumbaza ubongo na kuulaza yakiwemo hayo matabu ya alfu Lela ulelaMkuu hivo cna ninacho cha weep not children cha ngugi lakn ntakutaftia
Sawa mkuu tunavisoma na hvo piaHivyo vitabu ndivyo vilijaza ujinga watanzania .someni vitabu Kama vya how to get rich ,how to make machines,how to prepare chips kuku nk hayo mangonjera ya hayo matabu yanapumbaza ubongo na kuulaza yakiwemo hayo matabu ya alfu Lela ulela
tupia humu kwa faida ya wengine mkuuKitabu kipo kwa anayehitaji ni pm nikupe maelekezo mazur
NB: kitabu nakitoa bila gharama yyte