Msaada: Mwanaume wa miaka 20 na zaidi kuwa na matiti

saidi yakoub

Member
Nov 1, 2015
21
22
Mimi nauliza tatizo la mwanaume kuanzia miaka 20 na kuendelea kuwa na maziwa linasababishwa na nini na jee tiba yake ni ipi ili yaondoke hayo matiti
 
Naweza sema hiyo hali ni hormonal disorder,inasababishwa na kuongezeka uzalishwaji wa hormone ya oestrogen na upunguaji wa hormone ya androgen(hii inahisiana zaidi na kukupa tabia za kiume),oestrogen inapozaliswa nyingi kuliko androgen ndio hiyo hali inatokea.
Wakati meingine huwa inasababishwa na baadhi ya madawa kama hizi za HIV,magonjwa etc
Matibabu surgery inaweza fanyika,cha muhimu kama unamgonjwa mpeleke hospitali afanyiwe vipimo ijulikane chanzo cha hiyo shida yake then afanyiwe tiba kulingana na tatizo lake.
 
Doctor shikamoo naona umemaliza yote kabisa
 
Jee ndugu hiyo upasuaji wake wanafanya hospitali zipi kwa hapa tanzania na gharama yake ni shilingi ngapi?
 
Wanaita gynecomastia, tiba kubwa ni operesheni ya kuondoa mafuta kwenye chuchu ila kwa bongo cna uhakika kama wanafanya
 
Naweza sema hiyo hali ni hormonal disorder,inasababishwa na kuongezeka uzalishwaji wa hormone ya oestrogen na upunguaji wa hormone ya androgen(hii inahisiana zaidi na kukupa tabia za kiume),oestrogen inapozaliswa nyingi kuliko androgen ndio hiyo hali inatokea.
Wakati meingine huwa inasababishwa na baadhi ya madawa kama hizi za HIV,magonjwa etc
Matibabu surgery inaweza fanyika,cha muhimu kama unamgonjwa mpeleke hospitali afanyiwe vipimo ijulikane chanzo cha hiyo shida yake then afanyiwe tiba kulingana na tatizo lake.
Vichwa kama hivi vinavyomwaga madini, ndo vichwa vya kuweka ndani.
 
Back
Top Bottom