Msaada: Mwanaume kutoka damu sehemu za siri.

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Jamani wanaJF, kuna rafiki yangu mmoja jana usiku kanieleza jambo nikaona niwaletee humu tujaribu kumsaidia. Huyu bwana ameniambia kuwa amejishangaa jana amekuta katika chupi yake kuna damu na inaonekana imevija toka ndani ya uume wake bila yeye kujua. amesema hali hiyo ilimstua sana na hajui sababu ni nini. Nimemuuliza kama ameshawahi kuugua ugonjwa wa zinaa akasema haijawahi kutokea kupata ugonjwa wowote. Nikamuuliza kama kakutana na msichana hivi karibuni akasema ana zaidi ya miezi miwili. Kwakweli nimeshindwa kujua nini kimempata huyu bwana nikaona kwakuwa JF ni Home of Great Thinkers, huenda kuna watu wenye taaluma ya afya wanaweza kusaidia kueleza kitaalamu hii inasababishwa na nini. Please hebu saidieni katika hili nini inaweza kuwa sababu.
 
Ametoa damu kwenye uume...au mkojo wenye damu? Kama ni damu tu ina maana tatizo lipo kwenye njia ya mkojo chini ya kibofu (urethra), ambapo mara nyingi huwa inasababishwa na kuumia (urethral injury)....kama ni mkojo wenye damu, basi tatizo linaweza kuwa kati kibofu hadi kwenye figo. Inaweza kuwa uvimbe, jiwe, kuumia, kichocho etc.
 
akwambie wewe ni daktari?? sema ukweli mwenye tatizo ni wewe bana, alaaah. aendo hospitali akacheki,yaani badala ya kwenda hosp yeye anaanza kujitangaza kwa watu. aache hizo bana
 
fuata ushauri wa dr. riwa MUNGU atamnusuru na janga hilo. Miaka ya nyuma kidogo kuna kaka alishaniambia alipata kitu kama hicho, ila yeye alitembea na girl friend wa mtu, lakini alipona.
 
Jamani wanaJF, kuna rafiki yangu mmoja jana usiku kanieleza jambo nikaona niwaletee humu tujaribu kumsaidia. Huyu bwana ameniambia kuwa amejishangaa jana amekuta katika chupi yake kuna damu na inaonekana imevija toka ndani ya uume wake bila yeye kujua. amesema hali hiyo ilimstua sana na hajui sababu ni nini. Nimemuuliza kama ameshawahi kuugua ugonjwa wa zinaa akasema haijawahi kutokea kupata ugonjwa wowote. Nikamuuliza kama kakutana na msichana hivi karibuni akasema ana

itakua ni HEDHI au EBOLA
 
Ametoa damu kwenye uume...au mkojo wenye damu? Kama ni damu tu ina maana tatizo lipo kwenye njia ya mkojo chini ya kibofu (urethra), ambapo mara nyingi huwa inasababishwa na kuumia (urethral injury)....kama ni mkojo wenye damu, basi tatizo linaweza kuwa kati kibofu hadi kwenye figo. Inaweza kuwa uvimbe, jiwe, kuumia, kichocho etc.

Thanx Riwa, Damu hii anasema ameiona ghafla katika nguo yake ya ndani na hasikii maumivu yoyote na amekuta imetoka kidogo tu na kukauka. kwa siku nzima leo hajaiona tena ikitoka n. so kama itakuwa ni hiyo injury inaweza kuwa imesababishwa na nini na inaweza kutibiwa na nini ili nimweleze huyu bwana akaitafute tiba? Thank you Riwa Great Thinker!
 
Ametoa damu kwenye uume...au mkojo wenye damu? Kama ni damu tu ina maana tatizo lipo kwenye njia ya mkojo chini ya kibofu (urethra), ambapo mara nyingi huwa inasababishwa na kuumia (urethral injury)....kama ni mkojo wenye damu, basi tatizo linaweza kuwa kati kibofu hadi kwenye figo. Inaweza kuwa uvimbe, jiwe, kuumia, kichocho etc.

Dr. Riwa heshima mbele,
Niliwahi kusikia mahali kuwa ongezeko la madini flani mwilini (calcium??) linaweza kupelekea mwanaume kukojoa damu, naomba dondoo Ndugu...
 
Huyo (ama wewe mwenyewe) ni mtaalam wa punyeto iliyokubuhu. Acha maana madhara tayari umeshayaona
 
wanaume wa siku hizi kwa kujadili nyiume zenu na wanaume wenzenu! mnanichosha kwa kweli!
 
Bleeding from the penis can
be caused for as many
reasons as bleeding from the
arm or leg. Unfortunately,
there are a few scenario's
which are slightly more likely.
Several STD's (Sexually
Transmitted Diseases) have
symptoms which include
bloody discharge from the
penis, and each of these are
serious health problems that
need to be discussed with a
Doctor.
Where the blood is coming
from is also important when
trying to figure out what
caused the bleed. I can only
assume it is being discharged
from the opening of the penis,
but if bleeding is occurring
from sores or cuts along the
length of the penis, several
more STD's come to mind.
I would strongly recommend
seeking the advice of a
qualified medical professional,
even one as simple as your
family doctor. It might be
embarrassing, but in the end,
the risks far outweigh the
embarrassment.+

source: answers.yahoo.com/question/index?qid=20070622081833AAbP1bi
 
akwambie wewe ni daktari?? sema ukweli mwenye tatizo ni wewe bana, alaaah. aendo hospitali akacheki,yaani badala ya kwenda hosp yeye anaanza kujitangaza kwa watu. aache hizo bana
we hazole vp kwahiyo nawewe ndo umefikiria ukatoa hilo jibu sio issue mkuu
 
Back
Top Bottom