Msaada: Mwanangu anasumbuliwa na kizungu zungu sana nakichwa kuuma

hunter2018

Member
Aug 12, 2018
9
7
Mtoto wangu ana umri wa miaka 13 anasumbuliwa sn namaumivu yakichwa' nakujicikia hali yakizungu zungu mara kwa mara yn huwa aipiti hata wiki huwa linamtoke kwa hiyo muda mwingi sn huwa anateseka mpaka namuonea huruma sana mwanangu" na huyu mtoto mwakani Isnha'allah anaingia Std7 Sasa wasi wasi wangu yawezekana akashindwa hata kuwa bize na masomo"Kwa hiyo kupitia jukwaa hili la JF naomba kama kuna mtu anayezifahamu'dawa zakuweza kumsaidia mwanangu ili tatizo lake hili liishe.
 
Haya maradhi Mungu atuokoe Na Mimi nimekuwa sana Na hili tatizo mpaka nikahisi ni HIV nimepima pima Na wewe hakuna kitu lakini namshukuru Mungu kiliisha tu chenyewe lakini nimemeza Dawa sana huu mwaka kwa kwel naomba tu Mungu mwaka uishs maana umekuwa mgumu sana kwangu
 
Back
Top Bottom