The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
Kongosho njoo umchukue utapata baraka
Heheheiyaaa...unamgawa,kwani amekuwa peremende?
si bora hata peremende ni tamu
Eh... kwani bepari la Kihaya lina shida gani isiyovumilika?
Sio msiri hata kidogo, nimeskia anasemwa kuwa ni mmbea.....naomba unambie sifa zingine The secretary naeza rudisha moyo nyuma!!!!!
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
Sio msiri hata kidogo, nimeskia anasemwa kuwa ni mmbea.....naomba unambie sifa zingine The secretary naeza rudisha moyo nyuma!!!!!
kama kakushinda ww The secretary basi hakuna atakaye muweza huyu.........ila mmmmh! sio kwambaaaaaaa!!!!!
View attachment 74276