Msaada mwanadada anayemtaka Bishanga bure namkabidhi.

Nakushauri kama unataka wateja wa haraka ungepeleka hili tangazo lako radio tedo FM au radio Chilli fm
 
Last edited by a moderator:
Shem mume agawiwi kama embe au yai!
Bishanga ni mume wako halali!

jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
 
Last edited by a moderator:
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.

kama kakushinda ww The secretary basi hakuna atakaye muweza huyu.........ila mmmmh! sio kwambaaaaaaa!!!!!
526071_364286926967531_1162649380_n.jpg
 
Sio msiri hata kidogo, nimeskia anasemwa kuwa ni mmbea.....naomba unambie sifa zingine The secretary naeza rudisha moyo nyuma!!!!!

Dah... sasa bepari anajishushia chat yake kama ndo hivyo. Mtu hakubaliki hata kwa kulumangia!
Mara gunia la misumari,mara turubai la jeshi.. Loh... Amechokwajee..
 
Back
Top Bottom