Msaada: Mwana JF aliyepo Shinyanga mjini

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,800
11,333
Habari wakuu. Naomba kwa mdau aliyepo Shinyanga. Kuna mzee wa makamo. Kabila ni mhaya najaribu kumsaidia kutokana na ukaribu wetu kama mzee wangu. Anauhitaji wa mtu(samaritan) ambaye ataweza kumsaidia kumpokea kwa siku chache. Anakwenda kwa interview ya watu wa Flying Doctors. Hana balance ya kutosha kumudu gharama za guest house. Ameondoka jana (J5) jioni kutoka Dar. Msaada wenu tafadhali. Shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom