Msaada: Mwalimu Nyerere's philosophy on leadership! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Mwalimu Nyerere's philosophy on leadership!

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by The Son of Man, Jun 2, 2010.

 1. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Natumaini mnaendelea vizuri.

  Nina shida ya kutaka kujua falsafa ya hayati baba wa taifa kuhusu uongozi. Katika darasa ninalosoma (MBA) yaani Master of business Administration tumepewa assignments kutoka kwenye Unit ya leadership and personal skills development na bahati mbaya au nzuri mi ndo mtanzania pekee darasani kwangu so nimeambiwa niandae presentation juu ya Mwalimu nyerere's philosophy on leadership.

  Nimekuwa nikigoogle ninapata historia ya maisha yake na jinsi alivyokuwa mwadilifu katika uongozi wake, jinsi alivyohubiri na kuuishi ujamaa na jinsi alivyokuwa tayari kung'atuka bila shida lakini hasa msimamo wake kwa uongozi na mafundisho yake sijayapata hasa.

  Naomba msaada wenu. Wengine darasani wamepewa other great leaders kama Mandera, Ghandhi na wengine. Natumaini nitasaidiwa ili niweze kuorganize mambo!
   
 2. d

  damn JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndiyo maana unasoma. unagoogle ili upate paper? Masters degree is a scholary degree. hizo zote ulizo google ukapata historia yake. Develop something from there. after all unalo jibu tayari. Ikiwa it is real philosophy hiyo kwenye blue inaweza kudevelop hata pages zaidi ya sita.
   
 3. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Well said, unless ana matatizo ya kujieleza kwenye karatasi! Ameshapata majibu mengi sana juu ya swali lake hadi akashindwa kuelewa kama majibu tayari anayo!
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mbona simple sana ndugu, kwani wewe huna hata kitabu kimoja cha Hayati Mwalimu? Nway hata huko kugoogle kunaweza sana kukusaidia ukifanya analysis nzuri
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Jun 2, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Soma kitabu chake cha Uongozi Wetu na Hatima Yetu, kiko hapa kwenye forum. Ukifanya analysis ya kitabu kile vizuri utapa filosofi nzima ya Nyerere tena kiundani zaidi. Au tafuta hotuba zake alizotoa wakati akimkampeinia Mkapa kuwa raisi mwaka 1995, alikuwa akiweka mtazamo wake bayana sana kipindi kile.

  Good luck na MBA yako
   
Loading...