Msaada: Muwasho mkali makalioni baada ya kutembea na mke wa mtu

worldboss

JF-Expert Member
Jun 30, 2015
2,229
2,291
Habari

Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni.

Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana.

Nimeanza kupata mashaka kuwa yule mwanamke aliwekewa tego au uchawi maana hali hii imeanza kunipata baada tu ya kula tunda.

Nisaidie ndugu zangu, naogopa sana wife akishtukia mchezo.

Sasa hapa najiuliza nikamuombe msamaha jamaa au nifanyeje ili hali hii iishe NATESEKA SANA JAMANI
 
Watafute wataalamu wa jadi wakusaidie ukichelewa utaanza kutoa malenge lenge na baadae vidonda vikubwa na mwisho kifo.

Ukienda kuomba msamaha, jamaa atakuambia dawa yake ni mbegu zake. Kama upo tayari kupasuliwa yai nenda kayamalize ili kunusuru uhai wako.

Na bahati mbaya utapewa ratiba ya kupasuriwa yai kila wiki Mara moja, hutaki unakufa.
 
Habari Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni. Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana. Nimeanza kupata mashaka kuwa yule mwanamke aliwekewa tego au uchawi maana hali hii imeanza kunipata baada tu ya kula tunda. Nisaidie ndugu zangu, naogopa sana wife akishtukia mchezo. Sasa hapa najiuliza nikamuombe msamaha jamaa au nifanyeje ili hali hii iishe NATESEKA SANA JAMANI
Utakua na minyoo kapime minyoo
 
Umeshahama kwa dada apo?
 
hhahahhahahhahahahaa muite mke wako mwambie kua ulichepuka then muombe mke akukune boss, problem shared half solved ati..
 
Habari

Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni.

Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana.

Nimeanza kupata mashaka kuwa yule mwanamke aliwekewa tego au uchawi maana hali hii imeanza kunipata baada tu ya kula tunda.

Nisaidie ndugu zangu, naogopa sana wife akishtukia mchezo.

Sasa hapa najiuliza nikamuombe msamaha jamaa au nifanyeje ili hali hii iishe NATESEKA SANA JAMANI
dalili za bawasili hizo wewe! kuota kinya kwenye kinyelo, na kutokwa na damu wakati wa kijisaidia! nenda hospital, puuza! ujionee!
 
Back
Top Bottom