okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,787
- 2,853
Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4.
Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka.
Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa.
Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona.
Shida ni nini hasa?
Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila anapokojoa akimaliza mkojo lazima yatoke matone madogo ya damu.
Nini chanzo na tiba yake pia.
Msaada wenu.