Msaada mtu mwenye kadi hii ya kupigia kura jina lake halipo kwenye daftali kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada mtu mwenye kadi hii ya kupigia kura jina lake halipo kwenye daftali kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nicazius, Oct 31, 2010.

 1. Nicazius

  Nicazius Senior Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mtu huyo mwenye kadi hii amehangaika kutafuta kituo chake cha kupigia kura bila mafanikio ameangalia mpaka kwenye website ya nec bila mafanikio, je watu kama hawa wapo wangapi na nec wanaagenda gani ya siri na mambo kama haya, watu wengi maeneo ya keko wanalalamika sana kuwa majina yao hayaonekani, jamaani tuchukue hatua.
   

  Attached Files:

Loading...