Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

Asante kwa ushauri ndugu
Huyo dokta ntampateje Kinondoni B kubwa, kama unajua ofisi yake ilipo au jina la ofisi utakua umenisaidia zaidi
Mkuu akimaliza kunyonya awe anawekwa begani hadi abeuwe kutoa gesi tumboni.
Usimpe dawawa yoyote bila kuambiwa na Dr.
Kuna Dr wa Watoto yuko Kinondoni B. Dispensary anaitwa Dr. Tony unaweza kumyembelea pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hilo na mwanangu alikuanalo now ana mwezi mawili niwakiume .nlimpeleka kwa docta hamiri akanishauri kwanza tusiwape watoto dawa kwaajili ya kunya mbaya..

Hivyo kwa kawaida mtoto Anatakiwa anye kwa wiki mara moja atakapo fika umri wamiezi mitatu iyo hali iyabadirika.. Unachotakiwa kufanya jitahidi kumnyonyesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BANGO JEUPE,
Daaa mkuu sitaki hata kukumbuka mwaka Jana mwanangu pia tulikuwa hatulali hadi asubuhi, sisi tulishauriwa tumnyweshe castle oil kidogo, ila ilitulia kwa mda akaanza tena. Baada ya miezi 2 ndio ataacha kulia, tatizo huwa ni gas tumboni
 
Mpeleke kwa Dr Amir,ni hospitali moja private ipo maeneo ya Fire(Dsm) ukifika maeneo ya fire na ukaulizia hilo jina watakuonesha hospitali hiyo ilipo maana huyo Dr Amir ni mbobezi maarufu kwa magonjwa ya watoto na Dsm anajulikana sana sana sana. BANGO JEUPE,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba mnisaidie naamini hapa kuna wazoefu juu ya ulezi

Mwanangu (kiume) umri siku 27, analia sana hasa usiku hatulali... Pia ana siku ya nne hajapata haja kubwa, anaishia kujamba. Jumatatu tulimuona dokta, akamcheki tu akasema hana tatizo.

Mama ana maziwa ya kutosha na mtoto ananyonya vizuri tu ila shida ndo hiyo nilowaambia

Note:tulijaribu kumnywesha Gripewater lakini hakupoa.... na leo tumeanza kumpa INFACOL lakini bado tatizo halipoi.

msaada wa mawazo ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulia ni kawaida kwa watoto wachanga akizoea mazingira ya nje atakaa sawa. Haja kubwa napo wengine wanachelewa kupata mradi anapata haja ndogo. Usiwe na haraka mradi daktari kakwambia Hana shida ni hali ya kawaida inayokuta watoto wachanga wengi. Usimpe dawa yoyote bila ya ushauri wa daktari.
 
Da ndugu yangu pole sana. Tatizo hill mi limenikumba. Kachanga kangu kana mwezi na Siku mbili. Nilikua silali usiku kwa sababu mtoto alikua analia sana. Kama wewe alipelekwa Hospital kwa Doctor. Majibu hana tatizo. Jirani yangu mama mmoja akamwambia wife. Mlambishe asali. Baada ya kulamba asali. Mtoto alitoa kitu sio. Usiku alilala mpaka Leo dogo yupo poa. Nakushauri jaribu kumlambisha asali kidogo tu. Matokeo utaya on a.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba mnisaidie naamini hapa kuna wazoefu juu ya ulezi

Mwanangu (kiume) umri siku 27, analia sana hasa usiku hatulali... Pia ana siku ya nne hajapata haja kubwa, anaishia kujamba. Jumatatu tulimuona dokta, akamcheki tu akasema hana tatizo.

Mama ana maziwa ya kutosha na mtoto ananyonya vizuri tu ila shida ndo hiyo nilowaambia

Note:tulijaribu kumnywesha Gripewater lakini hakupoa.... na leo tumeanza kumpa INFACOL lakini bado tatizo halipoi.

msaada wa mawazo ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na gripewater. Mimi mtoto wangu alikuwa hapati choo mpaka baada ya siku tano. Mcheki kitovu inawezekana hakijafunga vuzuri maana ilinitokea kwa mtoto wangu. Angalia kama kuna maji maji kwenye kitovu na yanuse kama hayana harufu basi endelea na kumkausha na spirit kidogo maana inauma. Chamsha maji yakipoa kidogo mpe. Anyonye kama kawaida halafu mama ahakishe anasafisha matiti yake kabla ya kunyonyesha.

Tumetokea huko na hao tunaowasemea sasa wana watoto hivyo mimi ni mzoefu. Wewe kama baba hakikisha unamlaza tumbon kwako ili apate joto na kupumua vizuri. Utaona atalala sana. Ukimweka chini tu atalia. Mme wangu alifanya hii kazi kwa watoto wetu wote kwa muda wa mwezi kila wanapokuwa wachanga.
 
Mtoto hana shida mnyonyeshe tu ashibe. Haja itakuja kufunguka tu vizuuuuri. Wangu nae alinipa wakati mgumu akaja kuachia Mzigo wa kueleweka sasa hivi katulia na sikutumia dawa yoyote.
 
mweke mtoto begani(tumbo liwe begani kwako au kwamama yake)au juu ya thigh(tumbo liwe juu ya thigh) baada ya kunyonya huku unampigapiga kidogokidogo mgogoni kwake,pia mama haakikishe mtoto anamweka vizuri kwnye chuchu wakati wa kunyonya ili asivute hewa
 
Mtoto wangu wa kiume alikua na hali hiyo. Ilifikia kipindi kuna daktari akasema afanyiwe operation sijui ni henia.... Niliwahi kununua mpaka madawa ya kiarabu ila hola...
Nilikataa na alipona bila dawa.
Kinachotokea ni mtoto kunyonya hewa nyingi hivyo kufanya tumbo kujaa gesi mara nyingi. Hali hii uisha kabsa mtoto anapofikisha miezi mitatu yani anapoanza kukomaa...

Msimpe chochote atapona.
Kiume
Hali kitu zaidi ya maziwa ya mama yake
Anajinyonga akiwa analia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha hapa mwanangu kitovu kilikua hakijafunga vyema tukamfunga sh 10 kitovuni mpaka kikafunga.... Hii usaidia kitovu kisitanuke anapolia...
Achana na gripewater. Mimi mtoto wangu alikuwa hapati choo mpaka baada ya siku tano. Mcheki kitovu inawezekana hakijafunga vuzuri maana ilinitokea kwa mtoto wangu. Angalia kama kuna maji maji kwenye kitovu na yanuse kama hayana harufu basi endelea na kumkausha na spirit kidogo maana inauma. Chamsha maji yakipoa kidogo mpe. Anyonye kama kawaida halafu mama ahakishe anasafisha matiti yake kabla ya kunyonyesha.

Tumetokea huko na hao tunaowasemea sasa wana watoto hivyo mimi ni mzoefu. Wewe kama baba hakikisha unamlaza tumbon kwako ili apate joto na kupumua vizuri. Utaona atalala sana. Ukimweka chini tu atalia. Mme wangu alifanya hii kazi kwa watoto wetu wote kwa muda wa mwezi kila wanapokuwa wachanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha hapa mwanangu kitovu kilikua hakijafunga vyema tukamfunga sh 10 kitovuni mpaka kikafunga.... Hii usaidia kitovu kisitanuke anapolia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulifanya hivyo lakini haikusaidia. Ilibidi twende hosp. ikaonekana kilikuwa kinatoa maji. Tulishauriwa kutumia siyo Giv bali dawa fulani nimesahau it is more than 20 years na dawa zilikuwa za shida. It took him two days akafunga ila dawa hiyo nimeisahau but not spirit.
 
Asanteni nyote kwa mashauri yenu,
Mlionishauri kitovu, kitovu kimekauka hana shida hiyo na nitajaribu kumweka karibu yangu mimi kama baba ili apate joto langu

Mlionishauri kunyonya hewa, nimemwambia mama mtu awe makini kwa hilo

Mlionishauri kuwaona madokta nguli nitafanya hivyo ndugu zangu

Wa Mitishamba asante Ndugu

Maelezo ya wengi inaonekana hii hali ni ya kawaida, angalau mmenifariji kusikia hivyo
Nimemshauri mama mtu pia apunguze pressure

Asanteni nyote nitaleta mrejesho baadaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba mnisaidie naamini hapa kuna wazoefu juu ya ulezi
Mwanangu (kiume) umri siku 27, analia sana hasa usiku hatulali... Pia ana siku ya nne hajapata haja kubwa, anaishia kujamba. Jumatatu tulimuona dokta, akamcheki tu akasema hana tatizo.
Mama ana maziwa ya kutosha na mtoto ananyonya vizuri tu ila shida ndo hiyo nilowaambia
Note:tulijaribu kumnywesha Gripewater lakini hakupoa.... na leo tumeanza kumpa INFACOL lakini bado tatizo halipoi.
msaada wa mawazo ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
mpeleke klink haraka
 
Back
Top Bottom