JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,362
- 9,617
Habari wana jamii,
Kuna ndugu yangu wa damu anasumbuliwa na tatizo la kinyesi kwa bintie wa miezi kumi.
Mtoto ana afya nzuri kabisa kila choo chake ndio tatizo.
Anjisaidia Mara kwa mara kidogo kidogo..ukizingatia anatumia pampas basi kwenye makalio kimeungua hadi kunatoa damu .
Ameshaenda hospital na amewaona madaktari Wa Watoto.. Ikiwemo muhimbili na aghakani.. Akapewa dawa za kupaka aina ya zincast.
Afanyeje? Maana mtoto analia muda wote kwa sababu ya maumivu.