Fuata wazee wamuangalie ulimi Kama ana udata chini ya ulimi , hospital nyingi watakuzingua na watakwambia hakuna tatizoMtoto anakaribia kufikisha mwezi toka azaliwe lakini hajawahi hata kulia wala kusema. Nini tatizo? Tumejaribu hosptali nyingi wanasema hana tatizo!
Msaada.
Ndugu muombe tu Mungu na kuweni na imani kuna mtoto alizaliwa maeneo ambaye madaktari walisema hakuna mtoto tumboni ni maji tu, walipga ultrasound hamna kitu.Kwani kama hospital zote mlizoenda wamesema hana tatizo kwwnn mnalazimisha kuambiwa ana matatizo?
Hamuamini? Kwanini?...
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri
Hahaha. Bado tunaendeleaHuu upuuzi sijui utaisha lini kwa Watanzania, maombi?
Habari Mkuu ulitatuaje hii changamoto, mtoto wangu ana week moja ana Hali Kama hii. Naomba tuwasiliane.Mtoto anakaribia kufikisha mwezi toka azaliwe lakini hajawahi hata kulia wala kusema. Nini tatizo? Tumejaribu hosptali nyingi wanasema hana tatizo!
Msaada.
Huyo atafurahia maisha sana, kwake kila kitu anakiona ni kawaida.Mtoto anakaribia kufikisha mwezi toka azaliwe lakini hajawahi hata kulia wala kusema. Nini tatizo? Tumejaribu hosptali nyingi wanasema hana tatizo!
Msaada.
Mkuu huyo mtoto wako hana shida yeyote,Hajawahi kulilia nyonyo nlikua nacheki tu baada ya masaa flani nampa, akiwa na njaa anazidisha kunyonya kidole ndio sign (ananyonya kidole).
Akiwa mchanga namuamsha ananyonya alivokua kua nikiona ananyonya kidole kwa nguvu najua anahitaji kula
hana shida mtoto anaamua tu kijikalia zake kimya hataki makelele na walimwenguMkuu huyo mtoto wako hana shida yeyote,
Utasumbuka bure na kupoteza gharama za hospital bila sababu.
Pengine amezaliwa na tabia ya upole na ukimya uliopitiliza..
Hivi mtu akiamua kujikalia kimya ni tatizo?
labda hakuridhika kuzaliwa kwnye family hyo mkuu.hana shida mtoto anaamua tu kijikalia zake kimya hataki makelele na walimwengu