Msaada: Mtoto mchanga kuvimba matiti kama binti anaekua... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Mtoto mchanga kuvimba matiti kama binti anaekua...

Discussion in 'JF Doctor' started by Misspina, Jun 14, 2011.

 1. M

  Misspina Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF habari zenu! Dada yangu alijaliwa kupata mtoto wa kiume tatizo ni kwamba kama siku 7 zilizopita alianza kuvimba matiti na kuweka ile hali ya kitu kigumu kwa ndani kama wale mabinti wanaoelekea kukua. Sasa leo asubuhi titi moja linatoa maziwa, jeje ni tatizo gani? Kesho anataonana na Dr but tumeona ni vyema tukashirikisha wanaJF pia. Asanteni
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Miss Pina huna haja ya kuogopa kuhusu hilo, ni kawaida kwa baadhi ya watoto hasa wa kiume kuvimba matiti wakati wakiwa wachanga (breast buds). Hii inatokana na hormone ya 'estrogen' ambayo ni hormone ya kike (lakini wanaume wanaweza kuwa nayo kidogo sana na kwa kawaida uharibiwa na ini) ambayo ameipata toka kwa mama yake, kwani wakati akiwa tumboni mtoto hupata damu ya mama kupitia kitovu-placenta.

  Hivyo vititi vitapungua tu vyenyewe, wakati mwingine vinaweza chukua hata miezi 6, lakini kadri mtoto anapokomaa na ini kuweza kuharibu hiyo estrogen aliyopata toka kwa mama basi matiti yatarudi katika hali ya kawaida. Hahitaji dawa au matibabu kwa hilo.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Mkuu usiogope hata mimi ilinikuta lakini ikaisha ila walikuja kushtuka ni makuku ya kizungu
  na maziwa ushauri kama mnampa maziwa jaribuni kubadili na kama mnampaga makuku yetu ya wiki moja nanusu
  hinya kama ngombe acheni mtamwaribu hasa hormone zake za kiume na kufanya uzazi kuwa shida binafsi
  nilifanikishwa na rehema za mungu maana pindi hicho yaani kila nikiamka maza dingi wako kazini nafinya kuku mzima mpaka wanaporudi manyoya yakao barabarani..mungu ni mwema usiogope nasema hivi kuna mtoto wa rafiki yangu nae
  ana allerge na maziwa ya nido akinywa nido yaani yanakuwa kama anataka kunyonyesha baadae yanasinyaa

  so jaribun kuacha kumpa makuku ya siku chache na pia maziwa mbadilisheni ok??kila la kheri swala kama amekuwa kuwa amuwe mnamcheki ile sehemu hata kwa kwa kupiga piga na kidole kaama inaonyesha dalili za kusimama ..ni muhimu sana
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Pdidy...huyu ni mtoto mchanga, hajaanza kula 'makuku' na pia anatumia maziwa ya mama yake tu. Kuku wa kisasa huwa wana mafuta sana ambayo ni moja ya vitu vinavyozidisha kiasi cha estrogen mwilini, hivyo inaweza tokea ikasababisha pia hali ya kuvimba matiti. lakini pia hii hali utokea kwa watoto/vijana wa kiume wakati wanabalehe, mechanism ni hiyo hiyo ya kuongezeka kwa estrogen kwenye damu. Mind you, japo estrogen ni hormone ya kike, sio kwamba wanaume wana zero level ya estrogen, ila ni kidogo na inatakiwa kuharibiwa regularly ili isidominate na kuleta madhara.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana misspina kwa matatizo ulionayo.
  mungu atakusaidia..
   
 6. M

  Misspina Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa maelezo haya, nimefarijika.
   
 7. M

  Misspina Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu. Alikunywa maziwa ya kopo siku ya pili baada ya kuzaliwa kwani maziwa ya mama yalikuwa hayatoki, alikunywa kwa siku hyo tu. Alikunya maziwa ya SMA.
   
 8. M

  Misspina Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante sana.
   
 9. M

  Morris john New Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usijali mwaya dogo ataretain his normal breast morphology and size.
   
 10. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  useful and educating
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Baba katika jina la yesu
  ninatangaza uponyaji juu ya mtoto wetu huyu ,natangaza breakthrough juu ya maisha yake
  kwa yoyote aliepanga jambo baya juu yake ikapate kumrudia..natangaza uhai juu yake
  naomba tobajuu ya wazazi wake walichofanya kwa kukusudia ama kutokusudia naitaji
  mtoto akawe huru in jesus name we pray

  amen

  sasa basi naomba usali hiyo sala kwa imani baada ya hapo chukua black current juice..iombee igeuze iwe damu yayesu ishike omba ifuatavyo

  bwana yesu ninakuja mbele zako saa nyingine tena ninaomba juuice hii ikawe damu yako ya thamani iliomwagika pale msalaban kwa ajili yetu ninitakasa kila maneno yaliosemwa kwa ajili ya chupa hii ninageuza nasimama na
  ufunuo 12:11 ulisema wakamshinda kwa damu ya mwana kondoo ninatangza ushindi juu ya kila kiungo cha mwanangu
  kikawe kama kawaida kupitia kristo yesu naomba

  amen chukua sample ama tone mpake hiyo sehemu kwaimani..nakueleza hivi akuna kinachoshindikana ,damu ya yesu inasafiri
  sembuse huyo uko nae kuna watu walipata kazi un kupitia blood nilioomba hapo jjuu si kwasababu ya vyeti bali
  walisimama na ushindi wa damu ya yyesu ..wala usiwe na wasi wasi...itaondoka wamenyeshwa watu maji ya kuchemsha wakapona sembuse damu ya yesu....

  Kila la kheri
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Pdidy, asante kumbe hawavumi lakini hata wewe umo.
   
 13. M

  Misspina Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante sana 4ur encouragement.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,702
  Likes Received: 82,626
  Trophy Points: 280
  There you go again Mr Riwa with your expertise in this field....THANK YOU MKUU! You're the best
   
 15. M

  Misspina Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amen. Asante sana Pdidy, nakushukuru kwa kuwa pamoja nasi katika kumsaidia mtoto wetu.
   
Loading...