Msaada! Mtoto ana Mwaka na miezi 3 ila kaota jino moja tu

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,148
2,159
Wajameni wana JF hii imekaaje mtoto ana mwaka na miezi mitatu ila kaota jino moja tu kiasi inaleta wasiwasi....Wadau wenye ujuzi hii imekaaje
 
Pole binary no.

Meno yote yataota hata km asingekuwa na hilo jino moja...


Ni hivi kufikia miaka miwili mtoto wako atakuwa. - anaongea
- anatembea
Ana meno
Anajua kuvaa viatu, anawajua baadhi ya watu na mengineyo.. Ataingezeja taratibu
 
Usihofu kila ukuaji una wakati wake. mimi binti yangu aliota meno karibu 12, lakini akiwa na mwaka mmoja na nusu alikuwa bado anatambaaa. nikashindwa kuelewa bt nilivuta subira, pls wait hiyo sio tatizo
 
Back
Top Bottom