Mmh kweli mmepinda aisee daaah huo ndio ushauri Witness.Wewe bila seed capital ya 50million hujauza mbao. Labda mtaji huo uuze kuni
Kibaigwa au Dodoma mjiniUmepanga soko lako uuzie wapi mkuu!?
Kiaje mkuuTafta channel ukapige hela kusini kwenye korosho
Msimu wa korosho huu ndio umeanza, tafta mtu katika amcos za wanunuz na wauzaji then utaomba utumbukize hela kwake mnunue mzigo pamoja maana hawaruhusu watu wasio wana chama kununua na kuuza. Hio mil.5 inaweza ikawa 15 in a few weeks to come.Kiaje mkuu
Possible, unawez bro kwa distance ya kutok making to dodom haiwezi zidi m nauli na ukichukua mbao za m 4 c mbaya but kumbuk kunabiashara ukiw n mtaj mkubw ndivyo unavyopata faida.Mimi niko Dodoma nataka nitoe mbao Mafinga naleta hapa mjini
Bosi mm kwetu kuna mashamba yanapatikana yanauzwa mm mwenyewe ninaplan ya kuaza kupanda mwaka huu , pia kuna ambao wanauza mashamba yaliokwisha pandwa miti yenye zaid ya chini ya miaka minne.Ninashukuru sana kwa hii topic, hata mimi nipo interested sana na kupanda miti na ni idea ya muda sasa, issue kwangu ni namna ya kuanza especially kupata shamba kwa ajili ya kupanda. Ningeomba kupata japo idea kama ninaweza kupata eneo huko njombe na kwingineko ukizingatia mimi ninaishi dar. Na price inakuwaje, pia gharama za miche kwa sasa ni kiasi gani na kuotesha plus kutunza. Please please mwenye data ninaomba
Uwekezaji mzuri sana huu.Uzi mzuri huu
Ebu njoo inbox tuyajengeHi guyz,mm nahitaji saana kununua mbao aina yoyote ila zenye ubora namaanisha nahitaji mzigo mkubwa ikiwezekana kama ni mfanyabiashara mkubwa tunaweza tukaingia long contract aliyeteyari naomba tuwasiliane
Nitakutafuta unipe MaujanjaAnd am 26 yrs old