abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
wajameni, kuna kesi ya jinai inaendelea hapa tunduma. Kuna jamaa ana kabiliwa na kesi ya jinai inayohusu kufoji. Katika kesi hii imebainika kuwa mlalamikaji aliwasilisha nakala ya document inayodhaniwa kuwa ilifojiwa, na taarifa zilizopo ni kwamba ile doc yenyewe inadhaniwa ilifojiwa ilipotea. Hivyo hata mwanasheria wa jamhuri hajui kuwa forged document mlalamikaji hana. Je hivi siku ya kutoa ushahidi itakuwaje?, je ikitokea mtuhumiwa akataka kuiona ile forged doc wanayodai aliifoji na hisipatikane sheria inasemaje?, je suala la forged doc kutooneka laweza kumsaidia mtuhumiwa? asante