Msaada mshahara wa unicef level gs6

Qulfayaqul

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
480
84
Wana jamii naomba kujuzwa mshaara wa unicef katika level ya gs6. Hawa jamaa nimefanya nao inteview na nadhani tunaelekea kuajiliana nao.
 
mi nadhani hili swali sio sehemu yake. ulitakiwa kujua kabla ya interview. sasa labda kama mna bargain now salary in u sign contract.
 
GS6 Kwa UN organizations ni about 1.7 Million take home ,lakini kila mwaka unaomaliza unapandishwa step na kuongezeka kama laki hivi.Siku hizi mashirika ya UN sio kama zamani,mishahara yao ni ya kawaida sana.
 
mi nadhani hili swali sio sehemu yake. ulitakiwa kujua kabla ya interview. sasa labda kama mna bargain now salary in u sign contract.

Huwa hakuna kubargain UN mishahara ipo wazi kwenye mtandao sana sana labda step ndo zinaweza tofautiana kulingana na uzoefu
Kwa GS 6 tuseme step 5 utapata si chini ya milion 2.5 basic, hivyo hongera yako.
 
mndebile mi naomba msaada zaidi naona kama ww una ushauri mzuri naomba tuwasiliane unijuze zaidi unaweza kunipa mawasiliano yako kama hutajali?

Back
Top Bottom