Nataka kusoma Master on my own Sponsor...chuo gani wana offer hii kozi..!! Ila sipendi kusoma UDSM kwa sasa...wanabaniana sana na si kana kwamba nikilaza.
Nataka kusoma Master on my own Sponsor...chuo gani wana offer hii kozi..!! Ila sipendi kusoma UDSM kwa sasa...wanabaniana sana na si kana kwamba nikilaza.
Piga MSc in Computer Science nadhani Mzumbe wanatoa hii kozi. Nimependekeza kozi hiyo kwa kua ina uwanda mpana wa mambo maana hata programming utazipiga kwa undani zaidi hasa java au Cpp na kozi nyinginezo kama Artificial Intelligence, Multimedia Systems, Advanced Networking, Distributed db, Db Systems, nk nk. Hebu pitia tovuti ya Udom nao huenda wakawa wanaitoa. Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.