Msaada: msaada namna ya kucast phone to smart tv

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
239
72
Poleni kwa pilika wakuu.
Nimenunua tlc 32 smart tv... Lengo kubwa ilikuwa niweze kuitumia kwa ajili ya kuangalia mpira kwa kutumia app ya cm... Mwenye ujuzi wa namna ya ku mirror cast naomba anisaidie plz
 
Mi nimenunua flat screen ya aborder nikiunganisha internet inaonrkana ipo connected ila haifungui internet nikutumia techno ila nikitumia sumsung inakubali
 
Mkuu nielekeze namna ya kuunganisha tayari nmeshaweza kuunga internet... Ishu ni kuaccess phone kupitia tv
Mi nimenunua flat screen ya aborder nikiunganisha internet inaonrkana ipo connected ila haifungui internet nikutumia techno ila nikitumia sumsung inakubali
 
Poleni kwa pilika wakuu.
Nimenunua tlc 32 smart tv... Lengo kubwa ilikuwa niweze kuitumia kwa ajili ya kuangalia mpira kwa kutumia app ya cm... Mwenye ujuzi wa namna ya ku mirror cast naomba anisaidie plz
Kwenye tv yako hakuna app ya cast? Ni smart TV?
 
Ipo inaitwa t-cast
Kwenye simu download hii app, ni shortcut ya menu ya Miracast

Kwenye Tcast ifungue utaona option mbali mbali jaribu wifi direct ama wireless mirror ama yoyote ifananiayo.

Kwenye simu fungua hio app itakupeleka setting ya ku cast utaiona tv kisha connect.
 
Inagoma mkuu Chief-mkwawa... Inasearch tu bila mafanikio

Kwenye samsung yako hamna iyo option ya smart view?
Screenshot_20190707-115527.jpeg
 
Nawashukuru wote mlopita katika uzi huu chief-mkwawa, mikumiyetu na heinsenberg hakika mchango wenu ndo umefanya nifanikiwe nlichokitarajia... Now naenjoy tu kuview smartphone on tv... Nice look....
Jamiiforums imejaa watu wenye elimu kubwa sana
Vizur sana
 
Hewaaaa
 
Mkuu ungeandika ulichofanya.
 
Back
Top Bottom