Msaada ms.word and excel

Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
504
64
Salaam wakuu, naomba mnisaidie ndugu yenu nimepata bahat ya kazi ila natakiwa nijue microsoft word na excel plz kwa mwenye kufaham any website ambayo naweza kujifunza au anifundishe tulipane,maana ndani ya wiki mbili natakiwa kuanza kazi,asanteni wanajamvi!
 
Nitafte!ntakufundisha
 
Kama upo Dar Nenda Chuo kikuu UCC utapata hiyo kozi, achana na matapeli kama wewe ni binti utaliwa kingono au kama ni dume watakula tuu hela yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom