Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

tatizo hukuona C&P lkn tag ilikufikia
Boss uzi wako nimeukuta katika new posts sikuuingia kwa vile nilipata notification ya kua tagged, pia hakukua na C&P ndiyo maana watu wakakuuliza kama na Castr ni id yako pia.
 
Nina mpenzi wangu ni bint mzuri tu,tatizo lake nimemchunguza nimegundua siyo mkweli muongo na mdokozi wavitu, kuna siku nilikuwanae ghetto niliamka asibuhi nikaenda kazini nikamuacha badae na yeye akaondoka, nilivyorudi gheto nikakuta pafyum yangu siiyoni, na siku nyingine niliamuacha gheto kurudi jion sabuni yangu ya unga sijaiyona na vitu vyote ivyo alivyo chukua nilikuwa nikiondoka asubuhi naviacha vipo! kwenye uongo:

Kila akiniomba msaada wa kipesa kununua kitu furani nikimpa sioni akinunua icho kitu alicho kuwa anakiitaji, aliniombaga hela yakununua kapeti nikweli alikuwa anashida ya kapeti, chakushangaza kapeti ajanunua na hela nimempa, na jingine kaniambia simu yake mbovu nimekuja kugundua simu ni nzima, na aliniomba ninunulie mashuka nikamwambia sawa naenda kukununulia nashangaa anataka nimtumie hela,

Mimi nikamwambia nipo dukani nanunua kabisa na nakuletea nikanunua nikampelekea kufika karibia na kazini kwake nika mpigia sim akawa apokea mwishoe akazima mpake kesho yake asubuhi, na nikimpigia hataki kupokea, kwa Mimi nimemgundua siyo mkweli anaomba hela yakutatua matatizo lakin siyoni akiyatatua, mfano ana mapungufu ya vitu nikimpa hela siyoni akivinunua ivyo vitu alivyo visema, na jingine nimegundua anatumia majina ya uongo,

Kwenye nyumba alipo panga kataja jina tofauti na aliloniambia, na kwenye line ya simu anatumia jina jingine na yote kayakubali.
Endelea tu kutoa mkuu utajazwa hata isiwepo nafasi ya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom