Msaada mpenzi wangu hana time sana kunitafuta kama zamani

Kipindi cha nyuma mawasiliano haipiti siku bila kukutafuta zaidi ya mara tano au sita yaani asubuhi, mchana, jioni na usiku mtaongea mpka unachoka lakini saivi ni morning greetings atakucheki na usiku kabla ya kulala atanicheki kunisalimia na kunitakia Gu9t

Lakini nikimpigia simu ikikata hanipigi mpka nijiunge tena nimpigie tofauti na zamani salio langu lilikata basi huyo ananipigia simu anaongea na mimi,

Siku ikitokea anakutafuta ile sana basi baada ya mida tukishamaliza kuongea atanipiga kizinga cha vocha au hela ya kula

Nifanye nini ndugu wana jf nashidwa kuelewa mchumba hana time sana na mimi siku hizi nifanye nini ili kumfikishia ujumbe mpenzi wangu ujumbe aelewe kuwa amebadilika naumia anavyojiweka mbali na mimi
Pole, jikaze umuage mapema
 
muwe mnaanza kusema ,mimi ni Mwanaume..au Mwanamke...

Watu wanajua. Wakushaur vip

Sada huelewej wewe ni Me au Ke..yaan nyuzi yako imekaaa Kianamkekianaume..ndo nn sasa??
 
Badili strategy ya mapenzi yenu kutaftana kila muda inachosha sana hasa mmoja kati yenu akiwa anajishuulisha na kitu kinachomfanya sometimes awe busy kikubwa endelea kujitahidi kumtafuta pale inapobidi ila sio kumtafuta mpaka unaboa usikute unapiga calls 25 kwa siku hapo ukiachwa ni halali huo ni usumbufu.
Afu kwanza tusifike mbali usikute wewe ni mwanafunzi maana ndo wana mapenzi ayo ya kuchart na kuongea muda wote n mwenzie asipomtafuta kidogo tu tayali analegea kama mleta uzi.
 
Fanya kama ifuatavyo
1. kama huna shughuli ya kufanya i.e kazi/biashara/kujiajiri fanya upate mishe kuimprove maisha yako ilikuyafikia malengo yako kwanza {focus on your purpose, dreams and goals}, pili hobbies ,tatu ndio ufikirie mahusiano.. MKuu​
  • 2."You're so Needy "- mwanamke yeyote hapendi hiyo tabia ya mwanaume kumpigia simu 24hrs /7days MNAONGEA NINI? Kwa mwanaume mwenye malengo anayekimbizana na MAISHA hawezi pata nafasi ya kuchat /calling Asubuhi, mchana na Jioni kila siku -Too much is harmful
  • So acha hii tabia mara moja

  • 3. Pull back - kwakua yeye ameshaanza ku pull back na wewe fanya hivyo hivyo usimtafute kwa sms wala calls, hakikisha yeye ndiye anaanzisha mawasiliano kwanza!. Akishindwa kufanya hivyo usimtafute tena RUDI KWENYE POINT YA KWANZA Hapo juu, focus kwenye mambo ya msingi
  • 4. Usifanye mahusiano ya miamala, kugharamika kifedha ili upewe/ulinde penzi. Mapenzi hayapo hivyo mapenzi yanaendeshwa na HISIA (EMOTIONAL FEELINGS) haswa kwa wanawake.
  • Hata ukiwa unaonga million kama hakuna upendo wa kweli hakuna tu, na pesa haijawahi kutosha na mwanamke mwenye tamaa ya pesa hajawahi kuridhika...
5. Inawezekana huyo mpenzi wako anakuona ni mtu asiyejiamini yani una Lack Confidence na upo so insecure ukiwa naye. kama upo hivyo jirekebishe mwanamke anaweza kukuvumilia kama hauna hela as long as una fight kutafuta lifena anaona jitihada zako lakini kama huna Confidence hawezi hiyo ni major turn off katika mahusiano ya kimapenzi mkuu, kwakifupi kuwa masculine!!

Zingatia point ya kwanza mkuu hizi nyingine nimeandika nikiwa na usingizi...😴
 
Hivi mnapotaka kuwa mnaongea kila muda..huwa mnaongea nini wenzetu?
 
Kipindi cha nyuma mawasiliano haipiti siku bila kukutafuta zaidi ya mara tano au sita yaani asubuhi, mchana, jioni na usiku mtaongea mpka unachoka lakini saivi ni morning greetings atakucheki na usiku kabla ya kulala atanicheki kunisalimia na kunitakia Gu9t

Lakini nikimpigia simu ikikata hanipigi mpka nijiunge tena nimpigie tofauti na zamani salio langu lilikata basi huyo ananipigia simu anaongea na mimi,

Siku ikitokea anakutafuta ile sana basi baada ya mida tukishamaliza kuongea atanipiga kizinga cha vocha au hela ya kula

Nifanye nini ndugu wana jf nashidwa kuelewa mchumba hana time sana na mimi siku hizi nifanye nini ili kumfikishia ujumbe mpenzi wangu ujumbe aelewe kuwa amebadilika naumia anavyojiweka mbali na mimi
Mchunie week mzima, akipiga usipokee na sms zake usijibu. Akikulalamikia jua bado unapendwa, akikaa kimya jua huna chako.
 
Okay pole sana kaka kwa hayo maswahibu.mie na case kama yako hiyo yeye baada ya kwenda chuo mwaka jana chuo Fulani pale Iringa mjini tuliendelea na mawasiliano ikiwa ni pamoja na kuniambia jamaa zake wanaomtaka hukoo....zikapita siku week mtu anabadirika akaanza punguza mawasiliano ...utamtumia vocha hakutafuti ,hasemi asante kama amepata ..nikajiongezaa nikaona sio pangu tena nikamsahau kihivo ...saivi tunafanya kuview status tuu ....... So kwa case yako hiyoo huhitaji kupigiwa bigula ujue nn cha kufanya AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
 
Kipindi cha nyuma mawasiliano haipiti siku bila kukutafuta zaidi ya mara tano au sita yaani asubuhi, mchana, jioni na usiku mtaongea mpka unachoka lakini saivi ni morning greetings atakucheki na usiku kabla ya kulala atanicheki kunisalimia na kunitakia Gu9t

Lakini nikimpigia simu ikikata hanipigi mpka nijiunge tena nimpigie tofauti na zamani salio langu lilikata basi huyo ananipigia simu anaongea na mimi,

Siku ikitokea anakutafuta ile sana basi baada ya mida tukishamaliza kuongea atanipiga kizinga cha vocha au hela ya kula

Nifanye nini ndugu wana jf nashidwa kuelewa mchumba hana time sana na mimi siku hizi nifanye nini ili kumfikishia ujumbe mpenzi wangu ujumbe aelewe kuwa amebadilika naumia anavyojiweka mbali na mimi
Una umri gani? Una muda gani na mpenzi wako? Nipe trend ya kipato chako tangia uanza nae uhusiano.
 
Siku hizi machangduoa wengi wanajificha kwenye mwamvuli wa mahusiano........unatakiwa uwe na akili ya ziada kulijua hili.......

NB:
Changudoa ni mwanamke yeyote anayethaminisha utupu wake na fedha....
 
We jinsia gani mbona mwandiko wa kike ,kama ni me acha kulialia sket haziishi tafuta pesa
 
We jinsia gani mbona mwandiko wa kike ,kama ni me acha kulialia sket haziishi tafuta pesa
 
Back
Top Bottom