Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Ghafla mpenzi wangu amenichukia na kunikasirikia kutokana kushidwa kumtimizia jambo lake alilokuwa akilitaka kutoka kwangu kushidwa kutimiza imefika hatua hatoi ushirikiano wowote wa kitu chochote na mimi amebaki kuniangalia tuu.
Ninavyohenyeka wala hajali tena hisia zangu imefika wakati moyo wangu hauna amani tena hivyo naombeni ushauli maana hatupo katika hatua nzuli ya maelewano na mwenzangu.
Ninavyohenyeka wala hajali tena hisia zangu imefika wakati moyo wangu hauna amani tena hivyo naombeni ushauli maana hatupo katika hatua nzuli ya maelewano na mwenzangu.