Msaada: Moto wa jikoni kwa mjamzito unaweza athiri mtoto?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Naomba kuuliza,

Wakati mjamzito anapika. Lets say akiwa amesimama kwenye majiko yetu ya gesi. Mtoto aliyepo tumboni haathiriki na lile joto linalotoka jikoni wakati wa kupika.
 
Nadhani hii ni mimba ya kwanza kwenu.Kupika na kukaa Jirani na jiko hakuna tatizo hapo.Angalia maisha ya wajawazito kule Kijijini.wengi wanafanya kazi zote mpaka wakati wa kujifungua.Wapi wanaojifungua akiwa jikoni anapika,wapo wanajifungua wakiwa shamba pia.*Zingatia Clinic*
 
Hongera mkuu na pole pia. Najua mliingoja sana hii mimba na sasa unakitarajia kije kikiwa kamili kabisa bila hata kope kuwa fupi kwa sababu ya jasho au joto la nchi.
Lakini, usihofu juu ya mama kupika, tena nakuambia ni vizuri awe anafanya mazoezi makali zaidi ya kupika. Nadhani umetokea kijijini, je hujawahi sikia wamama waliojifungulia shambani wakilima?? Mimi ni shahidi, nimewaona 2 waliojifungulia shambani wakilima tena mmoja alijifungua mapacha.
 
Back
Top Bottom