msaada modem yangu ya airtel haisomi nikichomeka kwenye computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada modem yangu ya airtel haisomi nikichomeka kwenye computer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Geofrey_GAMS, Jun 26, 2012.

 1. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Jamani wanaJF naomba msaada nifanyeje na hii modem maana nikiweka kwenye computer haisomi
   
 2. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Inawaka taa ya rangi gani?
   
 3. waseinc

  waseinc Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unatumia window gani mkuu kwenye pc yako?embu jaribu kuchomeka kwenye Pc nyingine alafu cheki kama inafanya kazi au haifanyi.
   
 4. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  inawaka taa ya kijani mkuu
   
 5. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Fanya kitu kimoja mkuu, kama upo eneo la 3g na taa inawaka ya kijani basi kweli haisomi. A simple way badili chip kwanza kwenye hiyo modem weka Airtel nyingine halafu jaribu. Kama haitasaidia naomba ufanye uninstallation ya modem software restart pc yako then install tena modem software mkuu. It will work mkuu
   
 6. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  tanx, let me try that mkuu
   
Loading...