Msaada modem ya zantel inajidisconect mara kibao!!help me guys! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada modem ya zantel inajidisconect mara kibao!!help me guys!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by chrisman49, Jul 7, 2012.

 1. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Msaada modem ya zantel inajidisconect mara kibao!!help me guys!
   
 2. chaUkucha

  chaUkucha JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3,222
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  modem ya zantel kichefuchefu me yangu nimeiweka kabatini
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  nilijua labda hilo ni tatizo la kwangu peke yangu.
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  zantel wanadisconect kila baada ya dk 10 ukiwa either huna hela au huna bundles, nyote mnaosema ni wale victim wa vpn's, jaribuni kueka bundle ndogo tu then conect halaf tuone kama itadisconect
   
 5. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,722
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  yap kma una2mia zle za cdma kma hna vocha au bando na una2mia vpn itakata tafta line za zantel thn weka kwnye modem hzi za kawaida inapga poa
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  But hio si watu wa dar na maeneo yenye zantel 3g maeneo mengi tanzania hawana 3g hao zantel
   
 7. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wale wa natumia cdma kwa vpn pia wanaweza tumia hii

  [h=2][​IMG] Re: Msada plz... modem ku disconnect( huawei mobile patner) nitawezaje kuzuia hili tatizo?[/h] jamani mm katika pitapita nimefanikiwa kupata hii hAcx Internet Auto-Dialer - CNET Download.com ukisha download weka interval ya 15 sec ili iwe inacheki yenyewe kama kuna disconnection iweze connect....kwa mm imenisaidia
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  Ok na vpn nayo itadisconect utafanyaje?
   
 9. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

  DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hapo ndiyo pagumu maana hata pinger hazikubali labda ile moja special ndo mzuka
   
 10. ahMgwami

  ahMgwami New Member

  #10
  Jan 18, 2014
  Joined: Nov 26, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Comrade, muongozo wa ziada kuweza fanikisha hili maana nimeijaribu ila naona bado inakata mawasiliano.
   
Loading...